Nini dawa ya mwanamke asieridhika na pesa?

Inapotokea kwamfano mwanamke wako aliomba umsaidie kiasi flani cha pesa lakini unafanikiwa kumtumia kiasi ambacho kimepelea kidogo tofauti na kile alichoomba lakini unamuahidi kwamba kiasi kilichopelea utammalizia baada ya siku tatu ila anakasirika akidai kwamba humjali

Mfano aliomba umsaidie laki mbili lakini unafanikiwa kumpatia laki moja na nusu halafu unamuambia kwamba elfu hamsini utampa baada ya siku tatu lakini anaanza kununa na kuona kwamba humtahimini na kumjali

Ipi ni njia nzuri ya kumshikisha adabu mwanamke kama huyu ?
Hakupendi Huyo Wala Usitafute Suluhisho La Kumridhisha Kifwedha
 
Kama ni Mkeo Mkalishe mueleweshe kistaarabu naiman atakuelewa..Ila kama ni Wa kupigamo tu Muache aende akafie mbele uko
 
Inapotokea kwamfano mwanamke wako aliomba umsaidie kiasi flani cha pesa lakini unafanikiwa kumtumia kiasi ambacho kimepelea kidogo tofauti na kile alichoomba lakini unamuahidi kwamba kiasi kilichopelea utammalizia baada ya siku tatu ila anakasirika akidai kwamba humjali

Mfano aliomba umsaidie laki mbili lakini unafanikiwa kumpatia laki moja na nusu halafu unamuambia kwamba elfu hamsini utampa baada ya siku tatu lakini anaanza kununa na kuona kwamba humtahimini na kumjali

Ipi ni njia nzuri ya kumshikisha adabu mwanamke kama huyu ?

kata mawasiliano ikiwezekana vunja laini,mpaka kwa mganga ublock
 
Hao ndo wale wale wa kina 'mbona hujaweka hela ya kutolea'....
 
Back
Top Bottom