Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

😀 msaada wa watu wa marekani.

yani wanatutayarisha kisaikolojia kabisa kudeal na dhambi zao za makusudi. kaachika. ndoa imemshinda. we ndo make mwema.

mie nashukuru nimelea magentlemen ya ukweli lakini ndo hivyo you'll have to split the bill .

kwa kweli sikumbuki kabisa majina ya wadogo wangu manake nilikuwa nawaita mizigo tu. wee mzigo njoo utoe socks zako hapa. hapo mama katoka kuniambia mie ndo nitoe kisa wanaume hawatoagi socks sebuleni. yani kwenye DNA yao kuna sehemu inasema kabisa USITOE SOCKS.

unless men learn to take their families seriously and stop entertaining their lusts, tunakoelekea kubayaa... hakuna wa kudeal na mateso ya hivi siku hizi kabaki Heaven Sent peke yake mumuwahiii
 
Hahaha you so nuts, eti kabaki HS peke ake. Aisee I can't put up with such nonsense. I don't give people discounts , I know my worth.
Yes, men have to stop entertaining their lusts. Na wakubali tu kuwa ndoa ni wawili, watatu ni ibilisi. And yes we have to do something concerning malezi ya watoto wa kiume
 
Hahaaaa! Tena waandamane!
 
We!! Hebu tulia, hujui bado nakusanya posa!
 
Ningemuita ila sitaki kumtonesha vidonda!! Mtoto wa watu hata hachepuki we umekazana na migume gume huko!
(ngoja nimtetee maana pesa yake mekula nyingi, maybe atanisamehe)
Aaah nimekuona ulivyojishaua kule, utayatengeneza mwenyewe
 
Naamini kila mtu ndani ya nafsi yake hutaka kuwa mtu safi n a mwenye tabia nzuri ila kuna sababu zinazojitokeza katika safari ya maisha na kumfanya mtu kubadilika...Mfano uaminifu ndani ya ndoa sasa umekwisha sana kuna rafiki yangu wamekuwa kwenye ndoa kwa takribani miaka 8 ndoa yenye furaha na amani tele alikuwa akimuamini mke wake haswa na alijitahidi kumtimizia mahitaji ya yule mke kwa kadri ya uwezo wa jamaa...Balaa imekuja kama week 2 zilizopita amegundua mke wake anachepuka na jamaa mmoja na taarifa za awali zimeonyesha huyo jamaa alijuana na huyo mke kwenye Facebook..Jamaa ameumia sana na hajamuambia kitu mke wake mpaka sasa aakusanya ushahidi wa kutosha kwanza..
 
haya uliyosema ni kweli tupu, tena yanauma
 

Hapo sasa inakuwa kizungumkuti. Case kama hizo nimeziona sana. Utakuta mume Au mwanaume katulizana tulii halafu kumbe mwanamke kicheche
Wengine ndio hapo nao wanaona ebo isiwe tabu na anaanza kuwapanga wanawake kama trophies
 
Ila inahitajika nguvu ya ziada kushinda ibilisi wa kusaliti.....kula chakula cha aina moja kila siku sio kazi ndogo. Yaani ugali kila siku lazima siku moja utatamani hata wali wa nazi kwa kweli.
 
Reactions: irk

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…