Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Hehe na wakishaungua huko, anaanza dozi kimya kimya, utajijua mwenyewe
Poleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Na kwelipole sana ..kwanza tambua kama mwanamke yakupasa usimamie maombi ya kuombea nyumba yako kwa maana shetan apenda kujiinua.tafuta sana upendo kila siku na kama kuna tofauti tafuta suluhisho la msamaha kabla ya kulala ili usiku upate haki yako kunako utamu
wanaume wengi wana tabia ya kucheat na sababu za kucheat zipo nying tu kuendana na mtazamo wa mtu mwingine ni tabia yake in nature,mwingine ubazazi,mara mwingine atakuambia urijali,ukichunguza sana atakuambia mwanaume uliyekamilika laima uwe na njia mchepuko huwez kula nyama moja kila siku,,sometimes marafiki na wengine ndo ile kutaman kufunua sketi tuu baaada ya kuona umbile fulani.kwa hiyo wewe ukianza kutafuta sababu utaishia njian hakikisha tuu unatenda ya haki yako tena kwa kiwango cha juu na maombi MUNGU atambadilisha tuu
Hiyo ni hulka ya wanaume wameumbwa hivyo hata
iweje hata uwe unampa kila siku atatoka tu, hata ulale umembeba usiku kucha haisaidii.
Wanaume pia hukinaisha ndo maana hata mke atavumiliaaaa lkn mwisho wa siku atachepuka.Wanwake wanakinaisha bana.
Hata hayo madushe hayafanani bhana kuna muhogo, kuna tango, kuna ndizi, kuna bilinganya na bamia pia, huoni hapo kuna ladha tofauti tofauti?Moja inatia uvivu..vitumbua havifanani ladha..
Nanukuu mademu wa kitaani kwangu : wanasema mwanamke anatosheka na ladha moja ila sio mwanaume..Hata hayo madushe hayafanani bhana kuna muhogo, kuna tango, kuna ndizi, kuna bilinganya na bamia pia, huoni hapo kuna ladha tofauti tofauti?
Mmh kuna watu selfish acha tuThat's so selfish. Nitafanya ujinga wote lakini sio kumuambukiza mke wangu ukimwi.
Namuheshimu sana mke wangu kwa maamuzi ya kunizalia watoto wenye afya njema na kuwa mstari wa mbele kwenye malezi yao and for that I will be forever grateful.
Hahaha wanawake wanachepuka kimya kimya, utalea tu watoto wasio wakoWanaume pia hukinaisha ndo maana hata mke atavumiliaaaa lkn mwisho wa siku atachepuka.
Hakuna jibu moja kwa hili swali. Inategemea mambo mengi sanaPoleni na majukumu wana Mmu,
Naombeni kujuzwa zaidi, mwanaume anapofanya maamuzi ya kuvunja uaminifu kwa mwenza wake ni kweli huyo mwanamke anakua/lazima na mapungufu au anafanya tu ili mradi kafanya?
Na ni mbinu gani za kufanya /ku handle hii hali endapo umegundua mwenza/mume/mzaz mwenzio(serious rtnshp) ana cheat.
Ushauri tafadhali
Katika ndoa tendo la ndoa ndio silaha wanayotumia wanaume wengi kama njia ya kuweka mambo sawa hata kama aliomba msamaha lakini kama bado anakupenda.mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.