Yah sometimes you have to accept that people can change. Hapa ndiyo unakuta mama zetu wamekuwa wenyeviti wa Jumuiya, WAWATA, fellowship, kumbe ni kutafuta kitu cha ku muoccupy.Relationship inawez ikawa strong na y muda mrefu lakn these guys they dont appreciate thats all i can say
Ewwwaaaaahhhhhh........mawasiliano nyumbani yakianza kuwa mabovu, nyumba chafu, nyumba imejaa ndugu wa mke wa kwake hutaki waje. Kuna mtu aliniambia ukiwa kwenye ndoa usikubali kulala na ugomvi, ongeeni mpate suluhu, na mwisho malizieni kwa tendo.
Hahahahaha point takenYah sometimes you have to accept that people can change. Hapa ndiyo unakuta mama zetu wamekuwa wenyeviti wa Jumuiya, WAWATA, fellowship, kumbe ni kutafuta kitu cha ku muoccupy.
Yaani hapo ukifikiria miaka uliyopoteza kuwa na nae, inatia hasira kwa kweli.H
haahahaha tena anakwambia aliyekwambia ushike sim yangu nani
Hivi nin cha kufanya jamani maana nina uhakika asilimia kubw y wanawake yanatukumba haya majanga
Where is Lara1, she is much missed in here😀😀😀😀Hahahahaha point taken
Haahaha kwakweli itabdi uvumilivu ,muda mwingine nakumbuka story ya @lara1 yule maria unatamani uwe kama yeye sema uvumilivu n kipaji
That is even better, you focus on your child. Give the child all the attention, hata akiwepo you just ignore him.We acha tu, halafu labd mna mtoto hapo ndio mawazo juu ya mawazo
kabisaaa.Tena hapo kibao una geuziwa wewe
Mmmh me navyoona wanawake wengi ni kama wameshakubaliana na hali ya uchepukaji, hawajali etiMay be
Its so sad
Wanawake tunakaz sana ku deal na hili tatizo
Yaani tukiwa nao ndani ndo wetu akitoka wala sio wako.Hahahahaa yaani hata ulale umempakata kesho asubh anarud kulekule hahaaha
Yah, kwasababu kwetu divorce is still a taboo. Unakubali kumeza misumari.Mmmh me navyoona wanawake wengi ni kama wameshakubaliana na hali ya uchepukaji, hawajali eti
umeona ee? tna unaambiwa sikuizi hna heshima.Teh usishangae ukageuziwa kesi "kwa nini unanichunguza"
Sio tu love Kati yenu, itategemea pia na msimamo wa wanandoa, especially mwanaume. Kuna wanaume anakupenda, ila decisions zote wanamfanyia mama na dadazSometimes influence from outside can cause tension in the house(the in laws), hii inategemea pia how strong is the love between two of you.
Hahaa unafikiri what next?n kukubali tu you just play your part only!Mmmh me navyoona wanawake wengi ni kama wameshakubaliana na hali ya uchepukaji, hawajali eti
1. UKIMWI hautuombei.Hahaa unafikiri what next?n kukubali tu you just play your part only!
Yaan ukisema ugombane na hao wanawake haisaidii cz wao hawana makosa,hilo janaume hata usemw ulie mwaka mzima ndio kwanza idad ya michepuko inaongezeka
We acha inauma lakin,jitu umesota nalo miaka yote hyo halafu mnakuja ku sharw kwwnye matundaYaani tukiwa nao ndani ndo wetu akitoka wala sio wako.