Anonymous Buddy
Member
- Jul 5, 2015
- 8
- 9
Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari.
Shida hasa itakuwa nini?
Shida hasa itakuwa nini?
That's why tunasema ijengwe bandari kubwa kule bagamoyo lakini watu wamebaki na mawazo ya kijinga.Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari.
Shida hasa itakuwa nini?