Nini chanzo cha foleni njia ya kwenda Bandari, Dar es Salaam

Jul 5, 2015
8
9
Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari.

Shida hasa itakuwa nini?
 
Kwa siku mbili mfululizo nimeshuhudia foleni ya kutisha kuanzia maeneo ya Tazara, Sokota,c Chang'ombe, Uhasibu na njia ya bandari.

Shida hasa itakuwa nini?
That's why tunasema ijengwe bandari kubwa kule bagamoyo lakini watu wamebaki na mawazo ya kijinga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom