Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

Nini Cha kufanya ukiwa unapitia kipindi kigumu?

Hujasema upo wapi na ni vipi mtu akikuhitaji anaweza kukupata, Je mbali na shughuli ya Udobi una taaluma au Ujuzi tofauti?
Hawa mimi nilishaachaga kuwachukulia serious. Usiumize kivhwa chako mkuu. Angekua serious angeweka namba angetoa details za msingi kama hizi unazouliza
 
Usiombe hasa ukiwa mwanaume uamke halafu huna pakwenda.

Hata mimi nilikuwa kama wewe msingi weka details zako hasa elimu au una ujuzi gani na kama huna usichague kazi.
 
Back
Top Bottom