mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
Si uende bila taarifa ukajue kinachoendelea si unajua kwakeHabari ya weekend wakuu,
Ni takribani miaka miwili nilimuazima ndugu yangu gari. Tunakaa mikoa miwili tofauti. Sasa tangu nimeanza kumuomba gari yangu, inaonyesha ni dhahiri moyo wako umekengeuka na hana dhamira ya kutaka kulirudisha gari langu. Ndugu wana JF naamini kabisa ntapata msaada wa kimawazo
Pale kwake halipo tena, maana kuna ndugu yetu mwingine mkoa huo. Na hajaliona mda sasa.Si uende bila taarifa ukajue kinachoendelea si unajua kwake
Unaweza ukalifuatiloa kwa mbali kujua mishe mishe kabla ya kumshukia kama mwewe.
Sio kuhonga.Miaka miwili gari umeihonga mkoa mwingine baharia
Kuna mambo ambayo yalijitokeza hapo katikati, lakini makabidhiano naye ilikuwa ni kulitunza, pindi nilipokuwa nimetoka. Sasa baada ya kurudi ndo shida imeanza. Ndipo nikaona ye ndo ndugu wa karibuHilo gari ni lako kweli au ulilipata kimagumashi? Miaka miwili unacheka na mtu??
Nashukuru "black sniper jina na kadi ya gari ni ya kwangu. Shitaka la kuibiwa unafungua mkoani kwako au kwa yule ambaye amelichukua.Limeandikwa kwa jina gani?
Kama lako fungua shitaka la kuibiwa
Watu wa hivi ni kuwafunga tu
Ukose usingizi kwa ajili ya tp
Nashukuru "black sniper jina na kadi ya gari ni ya kwangu. Shitaka la kuibiwa unafungua mkoani kwako au kwa yule ambaye amelichukua.
Nashukuru "black sniper jina na kadi ya gari ni ya kwangu. Shitaka la kuibiwa unafungua mkoani kwako au kwa yule ambaye amelichukua.
Mkuu Chuma Cha Reli, ni mwanaume sio mwanamkeTatizo la mademu wakiwa wanataka kitu wanajifanya kutaka kuazimwa au kukopeshwa, sasa angalia isije ikawa ndio kashajimilikisha na kadi amebadilisha jina
Nashukuru kwa ushauri "Tall Guy fam"Kama gari ni lako na una documents nenda polisi ripoti limeibiwa. Ila kama huna na hamkuandikishana basi kazi unayo!