Nini cha kufanya pale unapotapeliwa gari

mkaa mweusi

Member
Jan 14, 2011
69
26
Habari ya weekend wakuu,

Ni takribani miaka miwili nilimuazima ndugu yangu gari. Tunakaa mikoa miwili tofauti. Sasa tangu nimeanza kumuomba gari yangu, inaonyesha ni dhahiri moyo wako umekengeuka na hana dhamira ya kutaka kulirudisha gari langu. Ndugu wana JF naamini kabisa ntapata msaada wa kimawazo
 
Si uende bila taarifa ukajue kinachoendelea si unajua kwake

Unaweza ukalifuatiloa kwa mbali kujua mishe mishe kabla ya kumshukia kama mwewe.
 
Hilo gari ni lako kweli au ulilipata kimagumashi? Miaka miwili unacheka na mtu??
 
Si uende bila taarifa ukajue kinachoendelea si unajua kwake

Unaweza ukalifuatiloa kwa mbali kujua mishe mishe kabla ya kumshukia kama mwewe.
Pale kwake halipo tena, maana kuna ndugu yetu mwingine mkoa huo. Na hajaliona mda sasa.
 
Hilo gari ni lako kweli au ulilipata kimagumashi? Miaka miwili unacheka na mtu??
Kuna mambo ambayo yalijitokeza hapo katikati, lakini makabidhiano naye ilikuwa ni kulitunza, pindi nilipokuwa nimetoka. Sasa baada ya kurudi ndo shida imeanza. Ndipo nikaona ye ndo ndugu wa karibu
 
Limeandikwa kwa jina gani?
Kama lako fungua shitaka la kuibiwa
Watu wa hivi ni kuwafunga tu
Ukose usingizi kwa ajili ya tp
 
Tatizo la mademu wakiwa wanataka kitu wanajifanya kutaka kuazimwa au kukopeshwa, sasa angalia isije ikawa ndio kashajimilikisha na kadi amebadilisha jina
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom