Nini cha kufanya baada ya kuibiwa smart phone?

Nini cha kufanya baada ya kuibiwa smart phone?

Iwapo ulitumia google account ku-set up simu yako wakati unaanza kuitumia basi unaweza kutumia mitandao iifuatayo kuitafuta kwa kutumia Laptop yako

1.Google’s Android Device Manager.
Ingia katika mtandao huu kisha ingiza password yako ya goole account.Baada ya hapo utaonyeshwa ramani ya simu yako ilipo na unaweza kuipiga simu au kui-lock au kufuta data zote.

2.Google Maps Location History.
Hapa pia utatumia google account yako kuingia na utaonyeshwa maeneo ambayo mwizi wa simu anapenda kutembelea.

Anayefahamu namna ya kutumia IMEI number atufahamishe pia.


N hiyo njia hapo juu ni rahisi zaidi kama aliyenayonayi simu yako yuko online kwenye internet
 
Hivi jamani ukipoteza simu aina ya Droipad 7C Pro alafu ukawa huna IMEI za simu utafanyaje ili kupata simu yako kupitia line iliyokuwepo naombeni msaada
 
Wenzetu wahind hv vitu ruksa kabisa kutumia Tz tumefungwaa
 
Back
Top Bottom