Nini cha kufanya baada ya kuibiwa smart phone?

Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
13,645
12,936
Naomba kuuliza je hizi IMEI namba zinatumikaje kutafuta simu iliyoibiwa?Maana tulishawahi kupewa taarifa na TCRA kuwa huu wizi wa smartphones muarobaini wake ulishapatikana.
Natanguliza shukrani.
 
Iwapo ulitumia google account ku-set up simu yako wakati unaanza kuitumia basi unaweza kutumia mitandao iifuatayo kuitafuta kwa kutumia Laptop yako

1.Google’s Android Device Manager.
Ingia katika mtandao huu kisha ingiza password yako ya goole account.Baada ya hapo utaonyeshwa ramani ya simu yako ilipo na unaweza kuipiga simu au kui-lock au kufuta data zote.

2.Google Maps Location History.
Hapa pia utatumia google account yako kuingia na utaonyeshwa maeneo ambayo mwizi wa simu anapenda kutembelea.

Anayefahamu namna ya kutumia IMEI number atufahamishe pia.
 
IMEI or 'International Mobile Equipment Identity' is a unique 15-digit number assigned to all cellular devices. We can use this number to block a mobile phone from being used by another person or phone company if it has been lost or stolen.

Ni issue ya technical lakini hiyo ndiyo function yake...

Wale wanaonunua simu na kuzi clear imei # nafikiri wataisoma namba june hapo lmfao

Mtu ana iPhone 6 plus ya wizi bahati mbaya owner hakuweka passwork na icloud labda kwa kutokujua ama mpya alikuwa anataka kufanya hivyo soon ikaibwa basi wakaichukua ampelekea fundi atiiiii ah hiii hapa clear imei kisha wauziwa 1M...

Lol
 
IMEI or 'International Mobile Equipment Identity' is a unique 15-digit number assigned to all cellular devices. We can use this number to block a mobile phone from being used by another person or phone company if it has been lost or stolen. Find Your IMEI. On screen.

How can someone use IMEI number to block a stolen mobile phone?
 
The IMEI number is used by a GSM network to identify valid devices and therefore can be used for stopping a stolen phone from accessing that network. For example, if a mobile phone is stolen, the owner can call his or her network provider and instruct them to "blacklist" the phone using its IMEI number. This renders the phone useless on that network and sometimes other networks too, whether or not the phone's SIM is changed.

My take, I love technology, and one day the world will have civilized population due to technology. ..

Developed countries are trying mate!
 
Iwapo ulitumia google account ku-set up simu yako wakati unaanza kuitumia basi unaweza kutumia mitandao iifuatayo kuitafuta.

1.Google’s Android Device Manager.
Ingia katika mtandao huu kisha ingiza password yako ya goole account.Baada ya hapo utaonyeshwa ramani ya simu yako ilipo na unaweza kuipiga simu au kui-lock au kufuta data zote.

2.Google Maps Location History.
Hapa pia utatumia google account yako kuingia na utaonyeshwa maeneo ambayo mwizi wa simu anapenda kutembelea.

Anayefahamu namna ya kutumia IMEI number atufahamishe pia.
Vipi akiireset hiyo simu si details zote zinakuwa wiped? Au hiyo google account inakuwa imesajili na IMEI ya simu? kama wataisajili na IMEI nafikiri itakua rahisi kuitrack hata wakii-hard reset otherwise naona itakua haina msaada labda mwizi asijue kama anatakiwa kuiirestore na kujisajili upya kwa google account yake.
 
Kama kweli watu wanaofanya kazi wapo serious na wanataka kuwaridhisha watej wao ama ni summerize wawe civilized then hata hiyo IMEI namba ya simu yako wanaeza tupia mezani pako boss unapohitaji sema nafikiri procedures ni ndefu ki usalama zaidi boss
 
The IMEI number is used by a GSM network to identify valid devices and therefore can be used for stopping a stolen phone from accessing that network. For example, if a mobile phone is stolen, the owner can call his or her network provider and instruct them to "blacklist" the phone using its IMEI number. This renders the phone useless on that network and sometimes other networks too, whether or not the phone's SIM is changed.

My take, I love technology, and one day the world will have civilized population due to technology. ..

Developed countries are trying mate!

Thank you.Is it possible to use IMEI number to track where the user of a stolen phone is located?
 
Naomba kuuliza je hizi IMEI namba zinatumikaje kutafuta simu iliyoibiwa?Maana tulishawahi kupewa taarifa na TCRA kuwa huu wizi wa smartphones muarobaini wake ulishapatikana.
Natanguliza shukrani.
IMEI ukishaisajili na namba yako ya simu unakua unajulikana ni nani mmiliki wa simu. Ukiibiwa simu ukaenda kushitaki watakachofanya TCRA ni kuwasiliana na makapuni ya simu kuitrack hiyo device yako kupitia IMEI. Kwa hiyo simu ikiwekwa simcard nyingine hawa wataigundua kupitia minara yao ya simu ambayo huyo mwizi wako ataitumia kwa mda huo kuunganishwa wakati akiwasiliana kupitia simu hiyo ( hapa elimu sasa watu wa telecommunication wanaelewa zaidi sisi IT tunagusagusa tu). Hapo wataweza kumtrack sasa na kupata location yake. Nadhani utakua umepata picha japo kidogo
 
Watanzania wengi hawana risiti za simu zao hilo linawezekana tu ukionyesha risiti, na ikiwa imei haijabadilishwa
 
Ta
Iwapo ulitumia google account ku-set up simu yako wakati unaanza kuitumia basi unaweza kutumia mitandao iifuatayo kuitafuta kwa kutumia Laptop yako

1.Google’s Android Device Manager.
Ingia katika mtandao huu kisha ingiza password yako ya goole account.Baada ya hapo utaonyeshwa ramani ya simu yako ilipo na unaweza kuipiga simu au kui-lock au kufuta data zote.

2.Google Maps Location History.
Hapa pia utatumia google account yako kuingia na utaonyeshwa maeneo ambayo mwizi wa simu anapenda kutembelea.

Anayefahamu namna ya kutumia IMEI number atufahamishe pia.
Tatizo ni mpaka location iwe on, kwa mtu kama mimi huwa siwashi location access. Utanipataje?
 
IMEI ukishaisajili na namba yako ya simu unakua unajulikana ni nani mmiliki wa simu. Ukiibiwa simu ukaenda kushitaki watakachofanya TCRA ni kuwasiliana na makapuni ya simu kuitrack hiyo device yako kupitia IMEI. Kwa hiyo simu ikiwekwa simcard nyingine hawa wataigundua kupitia minara yao ya simu ambayo huyo mwizi wako ataitumia kwa mda huo kuunganishwa wakati akiwasiliana kupitia simu hiyo ( hapa elimu sasa watu wa telecommunication wanaelewa zaidi sisi IT tunagusagusa tu). Hapo wataweza kumtrack sasa na kupata location yake. Nadhani utakua umepata picha japo kidogo

Asante sana.Nimepata mwanga sana.TCRA wanahitajika kutoa elimu ya kina katika hii mada.
 
Ta

Tatizo ni mpaka location iwe on, kwa mtu kama mimi huwa siwashi location access. Utanipataje?

Ni kweli inabidi mpaka location iwe ON.Nadhani kama location ipo off basi inabidi kutumia IMEI number au Apps zingine zenye nguvu zaidi ili kuitafuta simu.Ila hizi apps zingine nyingi ni za kulipia na si za bure.Na inabidi uwe umezi-install katika simu kabla ya kuibiwa.
 
Watanzania wengi hawana risiti za simu zao hilo linawezekana tu ukionyesha risiti, na ikiwa imei haijabadilishwa

Kutunza IMEI namba,box la simu na risiti ni jambo la msingi sana.
 
Ni kweli inabidi mpaka location iwe ON.Nadhani kama location ipo off basi inabidi kutumia IMEI number au Apps zingine zenye nguvu zaidi ili kuitafuta simu.Ila hizi apps zingine nyingi ni za kulipia na si za bure.Na inabidi uwe umezi-install katika simu kabla ya kuibiwa.

hata location iwe off, kwa msaada wa mtandao wa simu, mtumia simu ya wizi atajulikana yuko wapi, unless mwizi hapigi, hapokei wala kutuma sms na hiyo simu, yaani anatumia calculator tu na camera!
 
Back
Top Bottom