Ningemweka Rais Magufuli kwenye list ya wazalendo kama angefanya haya

MNAZUNGUMZIA UPINZANI HUU WA AKINA LOWASA, SUMAYE NA MBOWE? AU UPINZANI UPI MNAOJITANABAHISHA NAO HAPA KUWA UMEIBUA HOJA ZA KUIBIWA RASLIMALI ZETU?

HAO MNAOWAONA WATU MUHIMU SANA KATIKA VITA YA KUPIGANIA RASLIMALI ZETU ZISIIBIWE NDO WEZI WENYEWE NA MATAPELI AMBAO KWA VITENDO TU WAMEJIDHIHIRI PASI MASHAKA. MBOWE SI NDO YULE ALIYETAKA KUDHULUMU N.H.C KWA KUJIFANYA NI MBIA AU SIYO HUYO?

JAMANI TUWE SERIOUS NA UCHAMBUZI WA MAMBO. MAMBO YA HIVYO MUYATENGANISHE NA YA MSINGI.

Mkuu;
Hivi huwa mnajifanya hamnazo au?? Haya yametokea wapi kwenye uzi huu jamani?? NHC na Mbowe ndio ACACIA? Hebu jifunze kutulia uandike. Ka huu ndo uchambuzi wa mambo, Tz ni vilaza tu
 
Ushabiki wa chama pendwa ndio umetufikisha .Wenzetu wa vyama vingine wakitoa mapendekezo wanaonekana ni wachochezi na wasaliti.Leo yale yaliyoshangiliwa na chama pendwa yamepingwa.Hongereni wa vyama vingine japo kwa wakati ule hamkusikilizwa lakini mwenyezi mungu aliwasilkiliza.Mungu ni wa ajabu hatimae ameotenda.Chama pendwa jitafakarini mlipojikwaaaa.
 
b927968c0b4efcdfc1b5a321ea237892.jpg
 
Nyumbu wa Lumumba mna mambo. Kinachofuata kuzuia Buku saba mukose za MB.
 
meneno haya bado yanaongea na karibuni atakua mzalendo wa kweli
 
Back
Top Bottom