Ningelikuwa mwalimu wa mwanafunzi kama huyu ningemuumiza!

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
c8fec3342de79da05dba06138c34d99b.jpg
 
Kwanza kabisa hii ni chai.

Hakuna kilaza anayeweza kuongea kiswangilishi kilichonyooka kama icho.

Pili point zote ziko straight.

Neno kama "To conlude" sio la kilaza au la kiba.... te.

So hii ni chai kavu live umetunyeshwa ingawa mi nimeshituka
 
Dogo bwana game conclude kwamba fish industry is important when you eat with rice is very sweet hahahaa
 
Dogo inaonekana yupo Dar mpaka kalifahamu solo la very. Pia inaonekan uelewa mzuri huo ni mwanzo mzuri ukipata mwalimu mzuri huyo hawezi piga bashte form four.
 
Back
Top Bottom