Ningekuwa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa.....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by IrDA, Nov 24, 2011.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Dogo mmoja alipanda daladala akawa anaimba..Baba angekuwa beberu mama angekuwa mbuzi mimi ningekuwa ndama, baba angekuwa jogoo mama angekuwa koo mi ningekuwa kifaranga...,konda akaona dogo anampigia klele akamwambia babako angekuwa mlevi mama ako angekuwa changudoa , we ungekuwa nani? Dogo akajibu...ningekuwa konda..
   
 2. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dogo mmoja alipanda daladala akawa anaimba..Baba angekuwa beberu mama angekuwa mbuzi mimi ningekuwa ndama, baba angekuwa jogoo mama angekuwa koo mi ningekuwa kifaranga...,konda akaona dogo anampigia klele akamwambia babako angekuwa mlevi mama ako angekuwa changudoa , we ungekuwa nani? Dogo akajibu...ningekuwa konda..  Safi sana Dogo kwa majibu ya Mtoto wa Mkulima ya Papo kwa Papo
   
 3. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uyo dogo hakushushwa njiani kweli?
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nadhani alichezea makofi ya kutosha afu anashushwa kwenye daladala
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dogo noma!!
   
 6. M

  Mipesa Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kushushwa kutafuata baada ya kichapo
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh ndo jibu sahihi la dogo
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haaaa haaaa,
  JF raha sn lol!
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! Kwa hiyo sie makonda watoto wa hao mnawasema?
   
Loading...