Ningekuwa na hela ningewakamua hadi wakome

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,894
Weupe, weusi, wachina, wazungu wembamba kwa wanene.
Ulaya, Afrika, Marekani na Asia.
Bara na Visiwani ningeenda kula raha.
Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za kutumia.
 
dah! We jamaa mawazo yako na yngu yako pacha kama majengo ya pale posta!
Ningeanza Wale wadada wazuriwazuri bungen
 
Kumbe kukomesha tu, mi nkajua ungewakamua hadi watoe maziwa
njoo unikamue mie hadi nikome....
 
Weupe, weusi, wachina, wazungu wembamba kwa wanene.
Ulaya, Afrika, Marekani na Asia.
Bara na Visiwani ningeenda kula raha.
Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za kutumia.

Kweli, Kweli tupu Bujibuji!!! Halafu wakizikamata inaanza pressure mpya ambayo huleta stress na vifo vya ghafla JINSI YA KUZIMAINTAIN ZISIPUNGUE WALA KWISHA
 
Weupe, weusi, wachina, wazungu wembamba kwa wanene.
Ulaya, Afrika, Marekani na Asia.
Bara na Visiwani ningeenda kula raha.
Haya ni mawazo ya kila mwanaume ambaye hajabahatika kuzikamata hela za kutumia.

Wewe maskini wa pesa na akili zako nazo maskini kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…