Ndo hauna sasa hilo gari, utafanyaje??????
Kisasi cha nyoka mawazo yenu !itabidi atoe 0713 ...ili awezeshwe kupata hilo gari.......
Hivi dunia hii utatoa funguo za magari kwa wangapi? au utatembea na wangapi? au utawapenda na wangapi? Ifikie kipindi tuwe na uwezo wa kuamrisha mioyo yetu kutii akili zetu na kuridhika na yule tutakayekuwa tumemchagua. Ni suala la kuridhika zaidi kuliko kuendekeza tamaa!