Ningekuwa na gari ningetoa funguo...

Ningekuwa na gari ningetoa funguo...

Mbona mademu wa kawaida sana, au umeanza mambo haya ukubwani bro.
 
kwani batter trade yao wamekuambia ni ya gari? Yawezekana hata hilo gari hawana wazo nalo wanataka jumba. Angalia tu usijekuta unatoa fungua za gari ya bosi wako. Hahaaaaa!
 
Kaka huku mjini wakikujua utauza nyumba,nenda pale millenium tower gorofani kuna kachumba kao maalum kaone vigogo wanavyoibiwa, nao wadhaifu kama wewe afu wanataka vya kuletewa. hayo manjonjo tu ya picha yaangalie kisha rudi kwa mkeo hamna jipya humo !
 
Siku ya kuugulia ukimwi kitandani utauliza hivi dada white, black, miss wowowo, miss kimbaumbau wako wapi?!!!!!!!!! Hata roho itapotoka hutawaona tena zaidi ya familia yako ikisikitika kwa usaliti uliyoitendea kushindwa kutimiza wajibu wako na kuparamia vimbwanga vya dunia vikakuondoa kabla ya ridhaa ya mungu aliyekuumba.
 
Kama kweli ni wazuri, kwa nini wanaonyesha starters..........
 
Back
Top Bottom