Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
- Thread starter
-
- #21
Mkuu,Zitto ndiye anayeniiga uandishi. Punguza jazba Mkuu. Ha ha ha ha haUnacopy uandishi wa Zitto huku ukijiita msomi wa Chuo cha Kata Udsm
Mtaumbuka sana sana sana, Msomi Kama wewe Tafuta aina ya uandishi sio wa kuiga toka kwa Zitto kabwe, Pole sana mkuu
Kila Sehemu kuna wenyewe hata Udsm ina wenyewe,
Ccm mpya ina wenyewe
Ccm ya kinana Ilikuwa na wenyewe
Kila ofisi Kuna wenyewe.
Mbona Wewe Unafanya kazi zaidi ya miaka Saba Kwanini usiache kazi uruhusu damu changa
Unaogopa nini? Acha kazi hapo Udsm uuze maharage kwa mtogole
Kwasasa, na tangu kuzaliwa kwangu, sina chama.
Waanzilishi wa CHADEMA Mkuuandiko lako lina ukakasi , hao wenye chadema unaowataja kwenye namba 1 yako ni akina nani ?
Atakapofukuzwa kazi Udsm Ndio atajua chuo kina wenyewe
Bora uendelee kutetea ccm mkuu
Utafukuzwa kazi utaishi vipi?
Tetea tumbo Baba
Jaribu kumsema mkuu Kama hapo Udsm utafikisha umri wa Dkt BanaKwasasa, na tangu kuzaliwa kwangu, sina chama.
Wa Ufipa MkuuIla shabiki wa Lumumba??
Nasikia Udsm njaa Kali sana sana Hivi, karatasi za mitihani zinatosha kweli maana nasikia mnagombania kumiliki stationary hapo Udsm, mmefukuza watu wa nje kuendesha stationaryMkuu,Zitto ndiye anayeniiga uandishi. Punguza jazba Mkuu. Ha ha ha ha ha
ni akina nani na wanavyeo gani hadi sasa ?Waanzilishi wa CHADEMA Mkuu
Mkuu kwa katiba yetu na utamaduni unaojengeka kwa kasi hapa nchini huoni kua kutokua na chama kunapunguza uwezo wako wa kuwatumikia wananchi? Ilivyo sasa kwanza inachukuliwa kua hakuna neutral gound katika utumishi hasa wa uma. ama upo na sisi au upo na wao.....Mkuu, wakati ukifika nitajiunga na chama. Lakini, kuwatumikia wananchi si lazima uwe na chama cha siasa.
Nyutro pesonSsa hivi wewe ni mwana nani wakili Msomi Petro E. Mselewa ?
Mkuu,kutokuwa na vyeo hakuathiri,kwa namna yoyote,umiliki.ni akina nani na wanavyeo gani hadi sasa ?
Hayo maneno yako au ya Dr. Bashiru Ally? Yamefanana tu au ni hayo? Alisema hivyo hivyo. Hakusubiri tusahau kwa muda kupita. Fasta, ya Voda imesingiziwa, akawa KM. Jana si mwanachama, leo KM. Kama ndoto! Nchi hii bwana. Nikimkumbuka Jaji Mkuu aliyetia nia kuwa m/kiti wa chama twawala bila ya kuwa mwanachama, nachoka! Unashangaa? Ukiwa Rais unakuwa pia M/kiti! Hata aliyepo, inasadikika, ni wakuja. Si ajabu anavyowakirimu wakuja wenziwe. Anawajua hao kama yeye. Wenyeji watajiju. Wanapata tabu sana. Peter, huna chama kwa sasa. Kwa sasa!Kwasasa, na tangu kuzaliwa kwangu, sina chama.
Mkuu kwa katiba yetu na utamaduni unaojengeka kwa kasi hapa nchini huoni kua kutokua na chama kunapunguza uwezo wako wa kuwatumikia wananchi? Ilivyo sasa kwanza inachukuliwa kua hakuna neutral gound katika utumishi hasa wa uma. ama upo na sisi au upo na wao.....Nyutro peson
Mkuu,karibu sana UDSM,Kisima cha Maarifa!Nasikia Udsm njaa Kali sana sana Hivi, karatasi za mitihani zinatosha kweli maana nasikia mnagombania kumiliki stationary hapo Udsm, mmefukuza watu wa nje kuendesha stationary
Piga kelele cheo kipo jirani
Nasema sifia sana upate cheo
japo Nakuheshimu sana mwanasheria wacha niache nisiendeleKwasasa, na tangu kuzaliwa kwangu, sina chama.
Funguka Mkuu sana na Rafiki yangu Mwanahabari Hurujapo Nakuheshimu sana mwanasheria wacha niache nisiendele