Ningekuwa mwanachama wa CHADEMA....

Ningekuwa mwanachama wa CHADEMA....

Unacopy uandishi wa Zitto huku ukijiita msomi wa Chuo cha Kata Udsm

Mtaumbuka sana sana sana, Msomi Kama wewe Tafuta aina ya uandishi sio wa kuiga toka kwa Zitto kabwe, Pole sana mkuu

Kila Sehemu kuna wenyewe hata Udsm ina wenyewe,

Ccm mpya ina wenyewe

Ccm ya kinana Ilikuwa na wenyewe

Kila ofisi Kuna wenyewe.

Mbona Wewe Unafanya kazi zaidi ya miaka Saba Kwanini usiache kazi uruhusu damu changa

Unaogopa nini? Acha kazi hapo Udsm uuze maharage kwa mtogole
Mkuu,Zitto ndiye anayeniiga uandishi. Punguza jazba Mkuu. Ha ha ha ha ha
 
Mkuu,Zitto ndiye anayeniiga uandishi. Punguza jazba Mkuu. Ha ha ha ha ha
Nasikia Udsm njaa Kali sana sana Hivi, karatasi za mitihani zinatosha kweli maana nasikia mnagombania kumiliki stationary hapo Udsm, mmefukuza watu wa nje kuendesha stationary

Piga kelele cheo kipo jirani

Nasema sifia sana upate cheo
 
Mkuu, wakati ukifika nitajiunga na chama. Lakini, kuwatumikia wananchi si lazima uwe na chama cha siasa.
Mkuu kwa katiba yetu na utamaduni unaojengeka kwa kasi hapa nchini huoni kua kutokua na chama kunapunguza uwezo wako wa kuwatumikia wananchi? Ilivyo sasa kwanza inachukuliwa kua hakuna neutral gound katika utumishi hasa wa uma. ama upo na sisi au upo na wao.....
 
Kwasasa, na tangu kuzaliwa kwangu, sina chama.
Hayo maneno yako au ya Dr. Bashiru Ally? Yamefanana tu au ni hayo? Alisema hivyo hivyo. Hakusubiri tusahau kwa muda kupita. Fasta, ya Voda imesingiziwa, akawa KM. Jana si mwanachama, leo KM. Kama ndoto! Nchi hii bwana. Nikimkumbuka Jaji Mkuu aliyetia nia kuwa m/kiti wa chama twawala bila ya kuwa mwanachama, nachoka! Unashangaa? Ukiwa Rais unakuwa pia M/kiti! Hata aliyepo, inasadikika, ni wakuja. Si ajabu anavyowakirimu wakuja wenziwe. Anawajua hao kama yeye. Wenyeji watajiju. Wanapata tabu sana. Peter, huna chama kwa sasa. Kwa sasa!
 
Nyutro peson
Mkuu kwa katiba yetu na utamaduni unaojengeka kwa kasi hapa nchini huoni kua kutokua na chama kunapunguza uwezo wako wa kuwatumikia wananchi? Ilivyo sasa kwanza inachukuliwa kua hakuna neutral gound katika utumishi hasa wa uma. ama upo na sisi au upo na wao.....
 
Nasikia Udsm njaa Kali sana sana Hivi, karatasi za mitihani zinatosha kweli maana nasikia mnagombania kumiliki stationary hapo Udsm, mmefukuza watu wa nje kuendesha stationary

Piga kelele cheo kipo jirani

Nasema sifia sana upate cheo
Mkuu,karibu sana UDSM,Kisima cha Maarifa!
 
Mkuu hivi kwa ushauri wako huu unakijenga chama au unakibomoa chama?
Kwanza tafuta kinga au tiba ya kukomesha ugonjwa wa mahaba ya kupindukia uliowakumba wahamiaji haramu kwenda CCM.
Pili yakupasa wewe kama wewe na wenzako kupigania haki ya kukutana na kuhutubia wananchi bila kusumbuliwa na dola.
Tatu tafuta mbinu za kuwahamasisha wanachadema hasa vijana kutumia muda wao kwa kufanya kazi kwa ufasaha ili wajikwamuwe kichumi.
 
Back
Top Bottom