Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
- Thread starter
- #61
Hujasikia Mkuu? Nilishateuliwa kuutumikia umma na Mwenyezi Mungu. What else?Mkuu unatafuta teuzi
muosha rungu
Hujasikia Mkuu? Nilishateuliwa kuutumikia umma na Mwenyezi Mungu. What else?Mkuu unatafuta teuzi
muosha rungu
Kotekote Mkuu
Nje ya mada,diploma ya sheria inaweza kufanya Kazi zipiHujasikia Mkuu? Nilishateuliwa kuutumikia umma na Mwenyezi Mungu. What else?
Karani wa Mahakama au Baraza la Ardhi,Kodi na kadhalikaNje ya mada,diploma ya sheria inaweza kufanya Kazi zipi
muosha rungu
Kuna mtu ana division two ya 10 points HKL ana umri wa miaka 32,anapenda sheria anafanya kaz ingine, anataka kusoma unamshauri asome dip au degree open universityKarani wa Mahakama au Baraza la Ardhi,Kodi na kadhalika
Ungeshughulikiwa ukajuta kuzaliwaHakika, ningekuwa mwanachama wa CHADEMA, ningeyafanya hayo.
Kwa ufaulu huo,aweza kusoma degree kwenye vyuo mbalimbali nchini.Kuna mtu ana division two ya 10 points HKL ana umri wa miaka 32,anapenda sheria anafanya kaz ingine, anataka kusoma unamshauri asome dip au degree open university
muosha rungu
Bado hajanikumbuka. Unaweza kunisaidia kumkumbusha?Endelea kulamba miguu maprofesa hapo UDSM, tangu maprofesa wa udsm waanze kuteuliwa kwa kasi hujielewi. Vipi kabudi hajakukumbuka tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
ulishajiondoa act wazalendoKwasasa, na tangu kuzaliwa kwangu, sina chama.
Sijawahi kuwapo,najitoaje?ulishajiondoa act wazalendo
Ningekuwa mwanachama wa CHADEMA ningefanya mambo mbalimbali. Kwanza, ningetambua kuwa CHADEMA ni chama 'chenye wenyewe'. Yaani, katika CHADEMA kuna waanzailishi wake na ndiyo wenye chama chao. Hivyobasi, ningekuwa na wajibu wa kulijua hilo; kuwatii na kuwaheshimu wenyechama chao na kuwa na mipaka katika kujadili na kutoa maoni yangu.
Pili, ningejiuliza, kwa kuwa kwangu CHADEMA nimechangia/nimefanya nini la kukumbukwa? Yaani, nimechangia kipi hasa katika kuifikisha CHADEMA ilipo sasa. Si kinyume chake, yaani, nimepata nini tangu nikiwa CHADEMA hadi sasa. Utii wangu na kupambana kwangu kama mwanachama wa CHADEMA vingejikita katika kipimo cha mchango wangu.
Tatu, ningemsifu Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa mchango wake, hasa wa kiuongozi, hata kuifikisha CHADEMA ilipo. Ningemsifu kwa kushiriki tangu kuanzishwa kwa CHADEMA chini ya Mzee Edwin Mtei hadi kupata Wabunge na hatimaye kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Nimgemsifu katika falsafa zake za 'kiuanaharakati' zilizokiinua chama. Ningewaomba wanachama wenzangu tumuandalie zawadi nzuri Mwenyekiti wetu kumpongeza kwa mafanikio yaliyofikiwa tangu awe Mwenyekiti. Mwisho mwishoni, ningewaomba wanachama wenzangu tumshauri Mwenyekiti Mbowe asigombee tena Uenyekiti mwakani. Tungemfanyia sherehe baab-kubwa!
Nne, ningejenga hoja na wenzangu ya kuwa makini katika kupokea wanachama toka vyama vingine ambao huhamia hasa wakati wa uchaguzi mkuu. Hawa huhamia kimaslahi kuliko kupendezwa na Ilani, Itikadi na Falsafa za chama. Baada ya uchaguzi, hata kama wameshinda katika nafasi wanazoaminiwa, huwa na ukakasi katika kusema na kutenda kwao.
Tano, ningewashauri wanachama wenzangu na viongozi wetu wa CHADEMA KUJIKITA KATIKA MAMBO MAWILI MAKUBWA. La kwanza ni ujenzi wa Ofisi kuanzia Makao Makuu hadi huko kwenye ofisi za Wilaya. La pili, ni kuendelea kujitangaza, hata kama ni kimyakimya, hasa katika sehemu za vitongoji na vijiji. Baadaye, tujikite ngazi kwa ngazi kwa uchaguzi wa S/Mitaa, Udiwani na Ubunge.
Hakika, ningekuwa mwanachama wa CHADEMA, ningeyafanya hayo.
OKKwa ufaulu huo,aweza kusoma degree kwenye vyuo mbalimbali nchini.
UNAPENDA POST GANI KATI YA UDC, URC, UDAS AU UBALOZISijawahi kuwapo,najitoaje?
daaa umeenda.nje.ya mada.kabisaa..utakuwa.division.five weweNingekuwa CCM nisingekubali kumtetea Jiwe daily wakati siteuliwi.
kamanda umeandika nini..hapa.. total.confusionUnacopy uandishi wa Zitto huku ukijiita msomi wa Chuo cha Kata Udsm
Mtaumbuka sana sana sana, Msomi Kama wewe Tafuta aina ya uandishi sio wa kuiga toka kwa Zitto kabwe, Pole sana mkuu
Kila Sehemu kuna wenyewe hata Udsm ina wenyewe,
Ccm mpya ina wenyewe
Ccm ya kinana Ilikuwa na wenyewe
Kila ofisi Kuna wenyewe.
Mbona Wewe Unafanya kazi zaidi ya miaka Saba Kwanini usiache kazi uruhusu damu changa
Unaogopa nini? Acha kazi hapo Udsm uuze maharage kwa mtogole
aaahah kwa hiyo umekubaliana na uzi huu。safi kabisaaa..ni bora wewe kuliko wale wengine ambao wangeanza kupiga mayowe..Nani anaweza kumkosoa magufuli? Ccm haina wenyewe?