Ningekuwa mkurugenzi katika mojawapo ya majiji matano tuliyonayo(A-town,Dom,Dar,Mwanza,Mbeya na Tanga),ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje na usiku iwashwe,majiji yetu yakiwa na taa za nje hasa tube light hupendeza sana hasa unapoanza kuingia toka safari.

Mwisho nadhani Tabora sasa ikifikishiwa huduma ya maji yafaa iwe jiji.
 
Mkuu, nilifikiri unamtazamo wa kupunguza changamoto ya Giza mida ya usiku , pamoja kuimarisha ulinzi ndani ya miji, tajwa👆
Kwa wazo ya kuongeza mvuto kwa system za taa night bado ni changamoto Sana ,kuna sehemu public ambazo taa ni lazima ila hizijawekwa kulingana na bajeti ya serikali yetu,
Kwanza tunahitaji umeme was huakika kutimiza maoni yako.
 
Sasa Kama kila mtu aweke taa za nje, bili ya umeme kwa kila alieweka taa za nje italipa serikali?

Mkuu,kama hujui,vitu Kama usafi wa barabara,usafi wa mitaa,taa za barabarani, usafi wa mji ni kazi ya Manispaa ya eneo husika...

Kwa muono wangu naona utakuwa mkurugenzi mbovu Sana., utakuwa hujui unachokifanya
 
Back
Top Bottom