Ningekuwa Mimi ndiyo Rais baada ya kilichotokea jana leo Watanzania wengi mngekuwa mnaomboleza

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,124
2,000
Shukuruni sijawa Rais wenu wa JMT ila najua ipo siku nami nitaiongoza hii nchi na ndipo hapo nadhani mtagundua kuwa Rais wa sasa wa JMT Dkt. Magufuli ni mpole na ana roho ya huruma ila Mimi ndiyo mtaijua vizuri maana na neno roho mbaya au ukatili.

Haiwezekani kabisa Watu wameiibia hii nchi kwa miaka nenda rudi halafu bado wapo wapo tu tena wengine wakizidi tu ama wao wenyewe au Ndugu ( wanafamilia ) wao kututambia na kutudharau humu mitaani 24/7 kwa Pesa za jasho letu wenyewe.

Hakyanani Mimi GENTAMYCINE laiti ndiyo ningekuwa Rais wa JMT baada tu ya kusikiliza yale yote yaliyowekwa hadharani na ile Tume ya Kizalendo na iliyotukuka kabisa ya akina Professor Mzee Osoro basi nina uhakika sehemu nyingi sana leo nchini Tanzania ama mngekuwa mnaomboleza au wengine hata muda huu mnakwenda Kuzika.

Pale pale Ukumbini ningeamuru mara moja na tena bila kuchelewa kuwa wale wote waliohusika na kutajwa katika ile Kamati wawekwe hadharani kabisa tv stations zote zifanye live coverage ili Watanzania washuhudie jinsi Rais GENTAMYCINE ninavyoamuru Kunyongwa hadharani kwa hao Watajwa wote ili iwe fundisho kwa wengineo wote.

Rais Dkt. Magufuli kiukweli umeniangusha sana jana na nilitaka utoe amri ya Kunyongwa kwa hao wote.

Subirini niwe Rais wenu Mafisadi na Wabadhirifu wote TZ mtanitambua.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,207
2,000
Mie ya kunyongwa hapana wateswe wapate aibu zao kama wafungwa, ila nilitegemea zaidi nilipokuwa namsikiliza pia. Lakini baada nikajiambia kuwa lazima anataka kwenda kuanza kupewa habari kiundani na kuwapa zao kimya kimya ili wasijue watawaingiaje... ila akipwaya kwenye hili huku kuna mengi ya kuwanyoosha hao na wengine basi ataboa sana.

Tumeona lazima walikaa vizuri... mara hawaruhusiwi kusafiri.. hivyo natumaini ana plan nzuri.

Moja Spika amvue cheo bungeni huyo Chenge lazima atakuwa anaendeleza unyonyaji humo pia hata kuzuia mazuri ya maendeleo nchini... akakae kuwa mbunge wa kawaida...

Magufuli baba unahitaji vichwa vipya pia upate mengi mazuri kukusaidia kwenye kuongoza nchi. Hao wengi hawana mengi
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,124
2,000
Sawa Rais mkatili

Kwa mikakati yangu niliyoianza iwe isiwe na kama Mwenyezi Mungu atanikwepesha na Dally Kimoko / UKIMWI basi naamini kama si 2040 au 2045 GENTAMYCINE nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wenu na ndipo mtajua kuwa Rais Dkt. Magufuli wenu ni mpole na mkarimu na Mimi ndiyo Mbabe na Mkatili zaidi. Mnaoiibia Tanzania na kuifanya ni Shamba la Bibi 24/7 endeleeni kufanya hivyo ila CCM ikinipitisha 2040 au 2045 mtakiona cha mtema kuni na nitawanyongeni wote tena hadharani na mubashara kabisa ili siyo tu Watanzania waone bali dunia nzima ishuhudie. Na nina mpango wa kuwa Rais kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) tu kisha nawaachia wengine ila miaka yangu hiyo mitano nitafanya mambo ambayo Kizazi na Vizazi vitanikumbuka.

Hamuwezi mkawa mnaiibia nchi hadi tunachekwa na wanaotuona sisi Matajiri huku Ndugu zetu ( Watanzania ) kila siku tu wanateseka kwa ugumu wa maisha halafu muachwe hivi hivi tu muendelee Kutamba na kula Bata zenu huku mkiwacheka Watanzania walio masikini.

Nitawanyongeni nyote hakyanani!
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,124
2,000
Huo ukatili ungeufanya kwa mamlaka yapi?

Kwani akina Adolf Hitler, Idi Amini na Saddam Hussein walitoa / walipata Mamlaka wapi? Yaani nina hasira sana na Mafisadi na Wabadhirifu wa nchi hii ila ombeni Mungu labda hiyo 2040 au 2045 niwe na Jina jipya la Marehemu ndiyo mtapona / watapona ila nikiwa hai ndipo mtanitambua na kujuta kunifahamu Rais na Amiri Jeshi Mkuu GENTAMYCINE.
 
kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,458
2,000
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,124
2,000
Mie ya kunyongwa hapana wateswe wapate aibu zao kama wafungwa, ila nilitegemea zaidi nilipokuwa namsikiliza pia. Lakini baada nikajiambia kuwa lazima anataka kwenda kuanza kupewa habari kiundani na kuwapa zao kimya kimya ili wasijue watawaingiaje... ila akipwaya kwenye hili huku kuna mengi ya kuwanyoosha hao na wengine basi ataboa sana.

Tumeona lazima walikaa vizuri... mara hawaruhusiwi kusafiri.. hivyo natumaini ana plan nzuri.

Moja Spika amvue cheo bungeni huyo Chenge lazima atakuwa anaendeleza unyonyaji humo pia hata kuzuia mazuri ya maendeleo nchini... akakae kuwa mbunge wa kawaida...

Magufuli baba unahitaji vichwa vipya pia upate mengi mazuri kukusaidia kwenye kuongoza nchi. Hao wengi hawana mengi

Siku hizi nafurahi una akili na tunacheza sasa tune moja ambayo ni ya Kizalendo zaidi. Kwa style hii utakuwa sasa Rafiki yangu mkubwa na mzuri sana humu JF kama wengineo wengi tu. Napenda sana Mtu mwenye akili nyingi na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo, mwenye maarifa na mjenga hoja mzuri na nakuona sasa unakuja vizuri japo huwa tunapingana tu katika suala zima la Mtu wako unayempenda na uliyeapa Kufa kwa kumtetea humu JF iwe jua au mvua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Christian Makonda.
 
tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,833
2,000
Kwani akina Adolf Hitler, Idi Amini na Saddam Hussein walitoa / walipata Mamlaka wapi? Yaani nina hasira sana na Mafisadi na Wabadhirifu wa nchi hii ila ombeni Mungu labda hiyo 2040 au 2045 niwe na Jina jipya la Marehemu ndiyo mtapona / watapona ila nikiwa hai ndipo mtanitambua na kujuta kunifahamu Rais na Amiri Jeshi Mkuu GENTAMYCINE.
Uliouna mwisho wa hao madikteta?
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,124
2,000
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?

Narudia tena kusema kuwa Rais wa JMT Dkt. Magufuli jana alinikasirisha mno kwani Mimi nilitaka pale pale tu aamuru haraka na mara moja Wahusika wote wapelekwe mbele ya Firing Squad wapigwe Risasi mubashara wafe pale pale au Wanyongwe kwa Kamba ngumu huku Watanzania wote tukishuhudia. Hata hivyo Watanzania msijali sana na vumilieni tu kwani mwenye Jeuri ya kufanya yote hayo / ukatili huo nakuja kati ya mwaka 2040 au 2045 nadhani ndipo tutaheshimiana.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,895
2,000
Mie ya kunyongwa hapana wateswe wapate aibu zao kama wafungwa, ila nilitegemea zaidi nilipokuwa namsikiliza pia. Lakini baada nikajiambia kuwa lazima anataka kwenda kuanza kupewa habari kiundani na kuwapa zao kimya kimya ili wasijue watawaingiaje... ila akipwaya kwenye hili huku kuna mengi ya kuwanyoosha hao na wengine basi ataboa sana.

Tumeona lazima walikaa vizuri... mara hawaruhusiwi kusafiri.. hivyo natumaini ana plan nzuri.

Moja Spika amvue cheo bungeni huyo Chenge lazima atakuwa anaendeleza unyonyaji humo pia hata kuzuia mazuri ya maendeleo nchini... akakae kuwa mbunge wa kawaida...

Magufuli baba unahitaji vichwa vipya pia upate mengi mazuri kukusaidia kwenye kuongoza nchi. Hao wengi hawana mengi

system yote inahitaji complete overhaul, huwezi kuwasaidia wananchi wa Tanzania ukiwa mwanachama wa CCM au kiongozi uliyetokana na CCM, Nia ya Rais Magufuri ni njema sana ila kupitia CCM hawezi kufanikiwa.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom