Ningekuwa Mimi ndiyo Rais baada ya kilichotokea jana leo Watanzania wengi mngekuwa mnaomboleza

"Kama Rais ni muungwana asimame aseme wezi wanaweza kuwa CCM au CHADEMA. Tushikane mikono tung'oe wez CHADEMA na CCM" [HASHTAG]#Msigwa[/HASHTAG] [HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG] CloudsMediaLive on Twitter
 
Haaahaaa mwifwa! Hakuongeza 000kwenye malipo?
Hapana mkuu, ufugaji ndio umetutoa kimasomaso hadi sasa hivi bado tunaendelea na ufugaji na nikienda kumsalimia lazima nishike fimbo nikachunge.

Naishi kutengemeana na mazingira
 
Poa ila lakini si nimeshawaambieni kuwa sipendi muwe mnafupisha ID yangu na kuiandika Genta? Jamani ID yangu ni GENTAMYCINE na sitaki au sipendi mnapoiandika muwe mnaifupisha. Mbona Mimi huwa sizifupishi ID zenu hata kama ni ndefu vipi? Nakereka sana na hii tabia hasa ukizingatia kuwa nimeshalisemea hili mno.
Gentamycine. Majina hutolewa na watu. Jpm, jk,EL zzk, tundu, tz, hivyo pata fahari tu kuitwa kwa kifupi genta.
 
Hapana mkuu, ufugaji ndio umetutoa kimasomaso hadi sasa hivi bado tunaendelea na ufugaji na nikienda kumsalimia lazima nishike fimbo nikachunge.

Naishi kutengemeana na mazingira
Pamoja na degree bado unakubali uncle achunge Mifugo badala ya kufuga kisassa! Mifugo wastani lakini mavuno mengi. Msaidie uncle aone faida ya Nsumba.
 
"Kama Rais ni muungwana asimame aseme wezi wanaweza kuwa CCM au CHADEMA. Tushikane mikono tung'oe wez CHADEMA na CCM" [HASHTAG]#Msigwa[/HASHTAG] [HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG] CloudsMediaLive on Twitter
Asiseme"wezi wanaweza kuwa" Aseme tu Wezi hawa ni watanzania wenzetu. Vyama haviibi, bali watu. Tushikamane kuwangoa wezi hawa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Shukuruni sijawa Rais wenu wa JMT ila najua ipo siku nami nitaiongoza hii nchi na ndipo hapo nadhani mtagundua kuwa Rais wa sasa wa JMT Dkt. Magufuli ni mpole na ana roho ya huruma ila Mimi ndiyo mtaijua vizuri maana na neno roho mbaya au ukatili.

Haiwezekani kabisa Watu wameiibia hii nchi kwa miaka nenda rudi halafu bado wapo wapo tu tena wengine wakizidi tu ama wao wenyewe au Ndugu ( wanafamilia ) wao kututambia na kutudharau humu mitaani 24/7 kwa Pesa za jasho letu wenyewe.

Hakyanani Mimi GENTAMYCINE laiti ndiyo ningekuwa Rais wa JMT baada tu ya kusikiliza yale yote yaliyowekwa hadharani na ile Tume ya Kizalendo na iliyotukuka kabisa ya akina Professor Mzee Osoro basi nina uhakika sehemu nyingi sana leo nchini Tanzania ama mngekuwa mnaomboleza au wengine hata muda huu mnakwenda Kuzika.

Pale pale Ukumbini ningeamuru mara moja na tena bila kuchelewa kuwa wale wote waliohusika na kutajwa katika ile Kamati wawekwe hadharani kabisa tv stations zote zifanye live coverage ili Watanzania washuhudie jinsi Rais GENTAMYCINE ninavyoamuru Kunyongwa hadharani kwa hao Watajwa wote ili iwe fundisho kwa wengineo wote.

Rais Dkt. Magufuli kiukweli umeniangusha sana jana na nilitaka utoe amri ya Kunyongwa kwa hao wote.

Subirini niwe Rais wenu Mafisadi na Wabadhirifu wote TZ mtanitambua.
Tatizo gentamycine sio broad antibiotic ni selective most to gram negative

How about gram positive ambao ndo wanaangamiza taifa
 
Pamoja na degree bado unakubali uncle achunge Mifugo badala ya kufuga kisassa! Mifugo wastani lakini mavuno mengi. Msaidie uncle aone faida ya Nsumba.
Saiv ana shavu nono bana, ufugaji umebaki wa ng'ombe chache za maziwa tu.
Kilimo sasa hivi kinaenda kwa mkwanja yeye akiwa msimamizi.

Hamna kushika jembe kama enzi tunasoma
 
Kama JPM kuna sehemu alikosea na kama kweli alikuwa na nia ya kweli hasa ilikuwa ni kutangaza matokeo ya hii kamati.
Hii ngoma ilitakiwa iende kimyakimya, yaani baada tu ya taarifa ya kamati kutoka na kuridhika na matokeo yake ilitakiwa wahusika hawa kulala nao mbele kwa mbele kimyakimya.
Yaani leo mnazika huyu baada ya muda mnazika huyu, kimyakimya kama J Moe.
 
Genta! Chunguza saaana utagundua kuwa hakuna familia au ukoo Tanzania ambao hakuna fisadi awe mkubwa wa kati ama mdogo.
Ama baba, mama, mke, mume, Mjomba, shangazi, bibi babu, Shemeji, mpwa, binamu, shosti, shoga, mtoto, mkwe, mkamwana, rafiki, swahiba, jirani.

Niseme mara ngapi kuwa sipendi na nachukia ID yangu ya GENTAMYCINE kufupishwa na kuandikwa Genta? Nilidhani maelekezo niliyompa Member mwenzio hapo juu na Wewe umeyaona. Basi kama mnashindwa kuliko kuandika Genta kwa kuchoka kuandika GENTAMYCINE andikeni tu Mkuu basi itatosha. Naomba ujumbe huu ninaokupa Wewe juu ya kutokupenda kufupishwa kwa ID yangu uwafikie na wengine wote.
 
Kama JPM kuna sehemu alikosea na kama kweli alikuwa na nia ya kweli hasa ilikuwa ni kutangaza matokeo ya hii kamati.
Hii ngoma ilitakiwa iende kimyakimya, yaani baada tu ya taarifa ya kamati kutoka na kuridhika na matokeo yake ilitakiwa wahusika hawa kulala nao mbele kwa mbele kimyakimya.
Yaani leo mnazika huyu baada ya muda mnazika huyu, kimyakimya kama J Moe.

Napenda mno na sana Watu ninaofanana nao Kiakili kama Wewe Mkuu. Nadhani nikiwa Rais hiyo 2040 au 2045 nitakuteua Wewe ama kuwa Makamu au Waziri Mkuu wangu ili tuweze Kuwanyonga vizuri hawa Wajinga Wajinga Mafisadi / Wabadhirifu wa Mali za Watanzania. Napenda Watu wasioremba remba na wenye maamuzi magumu na mazito kama yako. Nimekukubali.
 
Sijaelewa hapa waliopo viwanja vya Idodomya watujuze kama Mzee wa Nkasi anasalimiana na mtemi wa Bariadi maana alitamka mjengoni kwamba kuwapoteza hao wachache si tatizo maans wanazaliwa watanzania wengi kila siku.Wachambuzi hv huyu mtu wa Nkasi alitoa tamko baafa ya kujua eneo la Isanga Izirael kakambika pale a
 
Back
Top Bottom