Ningekuwa Mimi ndiyo Rais baada ya kilichotokea jana leo Watanzania wengi mngekuwa mnaomboleza

Ningeamuru wafilisiwe tu Mali zao

Hiyo ni Wewe na huruma yako ila Mimi ningeamuru pale pale IKULU kuwa Wakanyongwe na huko mbele mkinipa ridhaa ya Kuwaongozeni nitawanyonga sana / mno hadi Watanzania wote tuheshimiane na hawa Mafisadi / Wabadharifu waishe kabisa na Tanzania iwe sehemu salama kwa Wazalendo wa kweli.
 
Duh...kweli tumeamua.

Mkuu inauma sana na sikutanii tangia jana usiku nimeshindwa kabisa kupata usingizi kwa yale niliyoyasikia pale IKULU halafu huku nikiwaangalia Babu na Bibi zangu huko Uzanakini ( Mara ) na Umakuani ( Mtwara ) wanavyoteseka na maisha ya Umasikini kila uchao kwa kukosa huduma za msingi ambazo kumbe nyingi hazipelekwi huko kwakuwa kuna baadhi ya Viongozi wasio Wazalendo kabisa wa nchi hii Wanaifilisi na Kuifisadi nchi ambayo imebarikiwa karibu kila kitu na Mwenyezi Mungu.

Labda nisifike hiyo 2040 au 2045 ila mtanitambua!
 
Shukuruni sijawa Rais wenu wa JMT ila najua ipo siku nami nitaiongoza hii nchi na ndipo hapo nadhani mtagundua kuwa Rais wa sasa wa JMT Dkt. Magufuli ni mpole na ana roho ya huruma ila Mimi ndiyo mtaijua vizuri maana na neno roho mbaya au ukatili.

Haiwezekani kabisa Watu wameiibia hii nchi kwa miaka nenda rudi halafu bado wapo wapo tu tena wengine wakizidi tu ama wao wenyewe au Ndugu ( wanafamilia ) wao kututambia na kutudharau humu mitaani 24/7 kwa Pesa za jasho letu wenyewe.

Hakyanani Mimi GENTAMYCINE laiti ndiyo ningekuwa Rais wa JMT baada tu ya kusikiliza yale yote yaliyowekwa hadharani na ile Tume ya Kizalendo na iliyotukuka kabisa ya akina Professor Mzee Osoro basi nina uhakika sehemu nyingi sana leo nchini Tanzania ama mngekuwa mnaomboleza au wengine hata muda huu mnakwenda Kuzika.

Pale pale Ukumbini ningeamuru mara moja na tena bila kuchelewa kuwa wale wote waliohusika na kutajwa katika ile Kamati wawekwe hadharani kabisa tv stations zote zifanye live coverage ili Watanzania washuhudie jinsi Rais GENTAMYCINE ninavyoamuru Kunyongwa hadharani kwa hao Watajwa wote ili iwe fundisho kwa wengineo wote.

Rais Dkt. Magufuli kiukweli umeniangusha sana jana na nilitaka utoe amri ya Kunyongwa kwa hao wote.

Subirini niwe Rais wenu Mafisadi na Wabadhirifu wote TZ mtanitambua.
Kwan kuna kiongozi wa ccm msafi? Kama upo jikoni ulizia na zile Nyumba za serikali!
 
Kwa mikakati yangu niliyoianza iwe isiwe na kama Mwenyezi Mungu atanikwepesha na Dally Kimoko / UKIMWI basi naamini kama si 2040 au 2045 GENTAMYCINE nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wenu na ndipo mtajua kuwa Rais Dkt. Magufuli wenu ni mpole na mkarimu na Mimi ndiyo Mbabe na Mkatili zaidi. Mnaoiibia Tanzania na kuifanya ni Shamba la Bibi 24/7 endeleeni kufanya hivyo ila CCM ikinipitisha 2040 au 2045 mtakiona cha mtema kuni na nitawanyongeni wote tena hadharani na mubashara kabisa ili siyo tu Watanzania waone bali dunia nzima ishuhudie. Na nina mpango wa kuwa Rais kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) tu kisha nawaachia wengine ila miaka yangu hiyo mitano nitafanya mambo ambayo Kizazi na Vizazi vitanikumbuka.

Hamuwezi mkawa mnaiibia nchi hadi tunachekwa na wanaotuona sisi Matajiri huku Ndugu zetu ( Watanzania ) kila siku tu wanateseka kwa ugumu wa maisha halafu muachwe hivi hivi tu muendelee Kutamba na kula Bata zenu huku mkiwacheka Watanzania walio masikini.

Nitawanyongeni nyote hakyanani!
kwenye kitengo cha unyongaji,nitaomba uniteue Mimi niwie mkuu wao.hakika sitokuangusha ukizingatia wote tuna-share same agenda.
 
Tundu lisu alisaini mikataba ipi?
Akae pembeni wakati raisi anarekebisha na kunyoosha sekta hii nyeti,kweli kuna watu waliboronga huko nyuma,sasa yeye anatafuta kiki kwenye swala nyeti kama hili,yeye hajui kuwa hata mashinji anamuunga mkono raisi magufuli
 
Shukuruni sijawa Rais wenu wa JMT ila najua ipo siku nami nitaiongoza hii nchi na ndipo hapo nadhani mtagundua kuwa Rais wa sasa wa JMT Dkt. Magufuli ni mpole na ana roho ya huruma ila Mimi ndiyo mtaijua vizuri maana na neno roho mbaya au ukatili.

Haiwezekani kabisa Watu wameiibia hii nchi kwa miaka nenda rudi halafu bado wapo wapo tu tena wengine wakizidi tu ama wao wenyewe au Ndugu ( wanafamilia ) wao kututambia na kutudharau humu mitaani 24/7 kwa Pesa za jasho letu wenyewe.

Hakyanani Mimi GENTAMYCINE laiti ndiyo ningekuwa Rais wa JMT baada tu ya kusikiliza yale yote yaliyowekwa hadharani na ile Tume ya Kizalendo na iliyotukuka kabisa ya akina Professor Mzee Osoro basi nina uhakika sehemu nyingi sana leo nchini Tanzania ama mngekuwa mnaomboleza au wengine hata muda huu mnakwenda Kuzika.

Pale pale Ukumbini ningeamuru mara moja na tena bila kuchelewa kuwa wale wote waliohusika na kutajwa katika ile Kamati wawekwe hadharani kabisa tv stations zote zifanye live coverage ili Watanzania washuhudie jinsi Rais GENTAMYCINE ninavyoamuru Kunyongwa hadharani kwa hao Watajwa wote ili iwe fundisho kwa wengineo wote.

Rais Dkt. Magufuli kiukweli umeniangusha sana jana na nilitaka utoe amri ya Kunyongwa kwa hao wote.

Subirini niwe Rais wenu Mafisadi na Wabadhirifu wote TZ mtanitambua.
Dah kama China vile after Chinese revolution 1954.
 
Mie naona CCM hawana jipya mpaka dakika hii wala hawajamvua uanachama JIZI hata moja miongoni mwa Hawa

Ngeleja

Chenge

Kafumu

Yaani HAWAKO serious kabisa.
 
Kuwaua ni kuwahurumia sana Mkuu. Dawa ni kufilisi, tupa gerezani, kazi ngumu na kuanzisha chaneli Mpya ya tv ili kuwaonyesha mubashara kama big brother vile. Hii Iwe inaonyesha wanavyosulubika. Wengine tungejifunzia hapo hapo.
 
Kwa mikakati yangu niliyoianza iwe isiwe na kama Mwenyezi Mungu atanikwepesha na Dally Kimoko / UKIMWI basi naamini kama si 2040 au 2045 GENTAMYCINE nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wenu na ndipo mtajua kuwa Rais Dkt. Magufuli wenu ni mpole na mkarimu na Mimi ndiyo Mbabe na Mkatili zaidi. Mnaoiibia Tanzania na kuifanya ni Shamba la Bibi 24/7 endeleeni kufanya hivyo ila CCM ikinipitisha 2040 au 2045 mtakiona cha mtema kuni na nitawanyongeni wote tena hadharani na mubashara kabisa ili siyo tu Watanzania waone bali dunia nzima ishuhudie. Na nina mpango wa kuwa Rais kwa muda wa miaka mitano ( 5 ) tu kisha nawaachia wengine ila miaka yangu hiyo mitano nitafanya mambo ambayo Kizazi na Vizazi vitanikumbuka.

Hamuwezi mkawa mnaiibia nchi hadi tunachekwa na wanaotuona sisi Matajiri huku Ndugu zetu ( Watanzania ) kila siku tu wanateseka kwa ugumu wa maisha halafu muachwe hivi hivi tu muendelee Kutamba na kula Bata zenu huku mkiwacheka Watanzania walio masikini.

Nitawanyongeni nyote hakyanani!
Haijawahi tokea ndoto hizo za ukatili ,never Huji kuwa
 
always innocent until found guity by court of law,kama hawajapanda mahakamani na kuhukumiwa kuwa walitenda makosa hayo bado ni raia wema.uhuru wa kisheria ututangulie sio jaziba,visasi
 
Home kwenu kwa Kg umeona hana mpango wa kung'oka nini umeamua usikilizie dodo la ugenini kisa unakiandika kiswahili kwa ufasaha....
 
Back
Top Bottom