Ningejua mapema ningeoa

Ningejua mapema ningeoa

Inshort ningeona mbeleni huendaa ningeoaa mapema kuliko haya madhara nliyoyapata
KUOA sio suluhuhisho, wapo washikaji wameoa na bado wananyetuka.

Tatizo lako ni Psychology zaidi, na wala dawa za kienyeji hazitakusaidia lolote.

Kwanza kabisa acha Nyeto, pili acha kutazama video za ngono, tatu tafuta demu mmoja awe anakupa show time to time ili uweze ku-gain confidence.

kubali matokeo ya choice zako na uamue kubadilika.

Be a Man, mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
 
Back
Top Bottom