Nahitaji Nokia 1280, maarufu Nokia Obama toleo ya zamani, idadi ziwe 6

radicals

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
4,412
6,447
Habari wakuu,
Nahitaji tena nokia Obama sita (nokia 1280) zile nokia za button imara toleo la zamani (zisizofutika button haraka kama za kariakoo za sasa hivi). Nataka nizitumie katika shughuli zangu za uwakala. Nazipenda sana kwa sababu zinatunza meseji nyingi, imara na zipo nyepesi katika matumizi. Rangi yoyote iwe nyeusi, blue, nyekundu nk.

Kama unayo mpya ni vizuri, ila pia kama unayo used nitanunua pia. Nazihitaji simu 6. bajeti yangu kwa nokia obama used ni 15k-30K ( elfu 15 hadi 30).

Nimezunguka sana kuzitafuta madukani, zipo nyingi fake hizi zinazofutika button haraka, yani ndani ya muda mfupi zinafutika ile rangi yake

Nipo serious wakuu, napatikana Dar es Salaam Ubungo River Side, kama unayo/ unazo nicheki PM

Nashukuru mwanzoni nilizipata 4 kupitia hapa JF


Picha hii hapa chini

Screenshot_20191031-141502.jpeg
 
Nenda kwenye duka la simu waambie wakupe "itel wakala" ni Bomba sana hiyo inahifadhi majina hadi ya wateja 50 wanaorudia mara kwa mara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom