Ninayemhitaji hanielewi, nifanyaje?

Ninayemhitaji hanielewi, nifanyaje?

Mwambie mkutane nje ya kanisa lao_ msikiti wao mpange kupeleka mahari kwao uone kama ataendelea kukataa..
 
Unajua kupendaaaaa au bado,mi mke wangu nilimtongoza mwaka 1 na miezi 3, nilikua Naingia nae mpaka gesti na hanipi mpaka yeye mwenyewe ananiuliza si unapata hasara kaka,kila siku tunakaa humu ndani tunashikana halafu tunaondoka tu,wakati ananiuliza ivyo kumbuka yeye mwenyewe nda hataki kutoa,ukifika state house,anakwambia nooooooooooo, sasa ndugu yangu huyo ni wife material,kazi ni kwako vumilia upate mke bora,au kurupuka na nyege zako uishie njia panda ya alaska,kama unaona anakufaa kuwa mke ntakupa plan no2.alamsik
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu upo kwenye climax kufikia utumwa wa mapenzi halafu utumwa huu ni mbaya sana

unampenda mtu ambaye hakupendi

ila sio mbaya me mwenzio nishapita hiyo climax nishakuwa zaidi ya teja hapa nilipo

ukifanikiwa unipe njia mkuu
 
Tulia tulia mkuu, kuna mzembe mpaka apigwe chini ndio ushikilie usukani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom