Ninayakumbuka mengi

Hahahaaaaaa. Yakumbuke tu mdogo wangu na uyafanyie kazi yote


dishi gani?

Unajua sijakufahamu bado
MAREGESI MAKUNJA naomba tu nikushauri kitu kimoja kwakuwa bado wewe ni mgeni wa jukwaa...! Huku JF sio kama kule FB na Insta ambako picha kama hiyo ingekuwa tayari umeshapata likes kibao
Huku ni mijadala tu tena mingine ya kibabe hasa
 
[emoji23] [emoji23] ........sijui aliwaza nini hadi kupost hiii picha.
 
Mkuu anaomba asirudi kabisa ili tuendelee kufaidi mvua...
 
ahahahahahahaha dah,endelea tu kuyafanyia kazi bro..ila jf kufuta posti mbinde kweli ila kufungua akaunti nyingine fasta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…