Ninawatakieni Sikukuku njema jamani

Ninawatakieni Sikukuku njema jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10628583_500694770033810_3294904964711063267_n.jpg


Mgogoro wa Yanga huo...........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mzizi mkavu hii ni sikukuu ya kuchinja, Je huyo mnyama uliomuweka Ndio unaenda kumchinja.....?
 
Last edited by a moderator:
Mzizi mkavu hii ni sikukuu ya kuchinja, Je huyo mnyama uliomuweka Ndio unaenda kumchinja.....?
Inawezekana anamchinja hadi sasa maana alivyonona kisu kinateleza tu kama hakina makali vile ndio maana hajatoa mrejesho mpaka sasa...
 
Last edited by a moderator:
kuna mwimbo mmoja ulikuwa unaimbwa"mugongo mugongo cheza kimugongomugongo...." lol!
 
Skukuu ya eid ina mahusiano gani na hii picha?....
Siwzi kukujibu kwa sababu wewe uliye uliza ni mkwe wangu farkhina angeniuliza mtu mwengine hilo swali ningelimjibu lakini wewe sitoweza kukujibu samahani. Aulizae anajuwa zaidi ya anaye ulizwa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Weye farkhina mambo ya sikukuu huyajui bhanaa? Baada ya ubwabwa si mnajirusha kwa raha zenu? Na kujirusha kuko kwa namna nyingi ati, sasa Dr kaamua sikukuu hii kujirusha kihivyo.

Skukuu ya eid ina mahusiano gani na hii picha?....
 
Last edited by a moderator:
Weye farkhina mambo ya sikukuu huyajui bhanaa? Baada ya ubwabwa si mnajirusha kwa raha zenu? Na kujirusha kuko kwa namna nyingi ati, sasa Dr kaamua sikukuu hii kujirusha kihivyo.
:A S wink::llama::third: Mimi huku sikukuu sikwenda popote hali ya hewa imesha anza kuwa baridi nina mafua leo ni siku ya 3 ninatumia Kitunguu Saumu ndio kinachoni saidia. Mkuu BAK Sikukuu yangu mimi ni kula hicho Kitungu Saumu.

1024px-Italian_garlic_PDO.JPG
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom