Mimi Sinywi Maji ya Baridi ,Fanta,cocacola, soda ya aina yoyote ile, Au juisi za Mabox Junk foods,na chips. Mimi huwa ninakula sana ninapo amka asubuhi huwa ninakunywa Maji yaPole sana Dr achana na kunywa au kula vitu vya baridi itakusaidia kupata ahueni haraka.
Mimi Sinywi Maji ya Baridi ,Fanta,cocacola, soda ya aina yoyote ile, Au juisi za Mabox Junk foods,na chips. Mimi huwa ninakula sana ninapo amka asubuhi huwa ninakunywa Maji ya
Morning Time.
Maji ya Uvuguvugu Glasi 3 kabla ya kula kitu. kisha ninakaa kwa muda wa saa nzima kisha baada ya hapo ninakula Fruit Tunda la Apple (Tufah) 1 Chungwa 1 Tango 1 ndizi 1 na Brown chocolate 1 kisha ninakaa kwa muda wa saa nzima baada ya saa kupita ninakula
Break Fast
Chai majani ya
chai ndani yake ina unga wa tangawizi na mdalasini , mkate Diet bread slice 6 ninaweka cheece na jemu mayai ya kuchemsha 2 nyanya 1 na pilipili 1 na glasi 1 ya maziwa .
Afternoon.
mchana sili huwa ninakula Maji
Ninakunywa sana Maji ya uvuguvugu kwa wingi na matunda kama vile ndizi au matunda mengine.
Diner time.
wakati wa usiku ndio ninakula walikwa kuku na mboga ya majani. na mwisho wa chakula ninakunywa maji ya uvuguvugu hiyo ndio Menu yangu ya kila siku unaionaje? Hivyo hapo kwenye picha ndio Vyakula vyangu vya kila siku mkuu BAK
Samaki huwa ninabadilisha kwa kuku chakula cha usiku huwa ninapenda Samaki wa aina Pweza au ngisi au kole kole au samaki wa Papa hiyo kwa ajili ya usiku .Na wakati mwengine usiku mwingi ninakunywa mtindi ulitiwa Sukari iliniweze kupata usingizi. Sili nyama ya Ya aina yoyote ile iwe nyama ya Ng'ombe,mbuzi au kondoo. Sivuti Sigara na wala sinywi Pombe ya aina yoyote ile Alcohol mwilini mwangu ni marufuku. Mkuu mshana jrNimeipenda sana hii japo sijaona seafood hata moja kwanini?
Samaki huwa ninabadilisha kwa kuku chakula cha usiku huwa ninapenda Samaki wa aina Pweza au ngisi au kole kole au samaki wa Papa hiyo kwa ajili ya usiku .Na wakati mwengine usiku mwingi ninakunywa mtindi ulitiwa Sukari iliniweze kupata usingizi. Sili nyama ya Ya aina yoyote ile iwe nyama ya Ng'ombe,mbuzi au kondoo. Sivuti Sigara na wala sinywi Pombe ya aina yoyote ile Alcoh mwilini mwangu ni marufuku. Mkuu mshana jr
Asante ninajitahidi si unajuwa ujipende mwenyewe mwaka huu mwezi 12 tarehe 6 nitafikisha miaka 50 niombee mazuri nizidi kuwapa faida zaidi Nimesahau kukwambia kitu ninacho kipenda katika vitu vyote unajuwa kitu gani? Asali huwa ninaitumia sana Wakati wa Asubuhi kijiko 1 na wakati wa usiku kijiko 1 ukitumia hivyo kwa muda wa siku 40 Asali inasafisha Ini na Figo. huku kwetu Hikii ni kipindi cha kula sana Asali wakati wa baridi. Mkuu mshana jrUna discipline ya hali ya juu kwenye mambo ya vyakula na vinywaji jambo ambalo ni jema sana
Kwa namna hiyo ni vigumu mno kupata magonjwa ya ajabu ajabu una guarantee ya kuishi miaka mingi
Asante ninajitahidi si unajuwa ujipende mwenyewe mwaka huu mwezi 12 tarehe 6 nitafikisha miaka 50 niombee mazuri nizidi kuwapa faida zaidi Nimesahau kukwambia kitu ninacho kipenda katika vitu vyote unajuwa kitu gani? Asali huwa ninaitumia sana Wakati wa Asubuhi kijiko 1 na wakati wa usiku kijiko 1 ukitumia hivyo kwa muda wa siku 40 Asali inasafisha Ini na Figo. huku kwetu Hikii ni kipindi cha kula sana Asali wakati wa baridi. Mkuu mshana jr
![]()
Katika vyakula vyote hichi chakula kwangu mimi ndio Number 1 baada ya Maji ya Uvuguvugu ni Asali.
Inaonyesha wewe ni mnene ndio maana unachanganya Asali, Limao na maji ya moto unataka kupunguwa wewe mshana jrNakuombea MziziMkavu umeniacha nyuma kidogo, asali natumia sana hasa asubuhi lakini huwa nachanganya na ndimu au limao na maji ya moto
Inawezekana anamchinja hadi sasa maana alivyonona kisu kinateleza tu kama hakina makali vile ndio maana hajatoa mrejesho mpaka sasa...
jirusheni kwa raha zenu ila usisahau ndom.
hapo mtu ukijilipua ni halali yako!!!!
kwa kweli kanona....
hapo mtu ukijilipua ni halali yako!!!!
...Kwi kwi kwi kwi umevutiwa na hiyo shape iliyojaa utatanishi weye lol!!!!
Ni kweli kabisa na imenisaidia sana
Unataka nigombane nae mpenzi wangu hahahahahahah!!!!!!!!!! Hizi ni Picha za Mitandaoni si unajuwa tena internet na Computer zinavyofanya kazi mshana jrYalaaa MziziMkavu kakaangu Mamndenyi anayajua haya? Sitaki kuwa mmbeiya