Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
Dr Ulimboka aliposema ana pochi yake na simu alivyomnyanganya mbona hakukamatwa???? Matokeo yake analetwa jamaa fulani eti alimtesa Dr, subiri apone aje kutoa taarifa kamili!!!!!Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
Hiki sio kituo cha polisi kinatakiwa kiitwe SOBIBOR, kambi ya mateso! Watu wanaopelekwa kwenye hichi kituo wanapata mateso makubwa mno, wanawake wanabakwa, wanaume wanalawitiwa na polisi, wanabanwa sehemu za siri na kufanyiwa unyama mwingine usio na wa kibinadamu,naweza kusema kuwa ni kituo ambacho pia kinaongoza kwa Kupokea Rushwa askari wote wa kituo hiki wana magari HIACE zaidi ya mbili wamejenga majumba ya kifahari na wanaishi maisha y anasa sana, Je mshahara wao kweli ndio unawatosha kufanya hivo? Wanaharakati na wapenda mageuzi hebu mulikeni kituo hiki cha polisi ili kuwaondolea wananchi mateso, manyanyaso na kuvuliwa utu ndani ya nchi yao!!Huyu Msangi alikuwepo hapa akitesa watu kupokea rushwa,kubaka, kulawiti na kuwafanyia wakazi wa Arusha kila ukatili!!
Inaonekana watu mnazo taarifa nyingi kuhusu kituo hiki cha USA RIVER hebu mwaga nyeti zoote tupate pa kuanzia after all tunaye mbunge anatokea maeneo hayo!!!!!Kina kadogoo na wenzie watano waliuawa Usa river kwa kuchomwa kwa gesi; then RPC Ntobi akaamishiwa Musoma kupunguza hasira za wazazi wa vijana hao akiwamo mwenyekiti wa sasa wa CCM wilaya Arusha ambaye kiti hicho alipewa kumtuliza kwa ushawishi wa Abdrahman Kinana.
Kwa hiyo mateso ya Dk Ulimboka, ingekuwa Kenya hiyo ni cha mtoto!
Mkuu, yamewahi kukuta kule Kenya?
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
Kama kumuhukumu si kwa sababu ya utekwaji na uteswaji wa Dk Ulimboka bali kwa tabia yake binafsi na tabia ya Jeshi zima la Polisi-tabia y
a kutesa watu.
Kwa hiyo ndivyo hivyo unavyomjua kajipange mkuu uje na data za kueleweka
Ndie mhusika mkuu ktk tukio la kumua dk ulimboka inamana hata hilo hujui..
Huyu jamaa ni kijana wa miaka kama 42, alipitia jeshini Ruvu miaka ya 1989. Baada ya kumaliza hapo alijiunga na jeshi la polisi, kwenye Jeshi la polisi kapigiwa sana chapuo na marafiki wa baba yake ambaye ni marehemu Zahoro Msangi, ambaye naye alifikia Rank ya Senior Assistant Commissioner Police....