Ninavyoishi mimi na mke wangu

Ninavyoishi mimi na mke wangu

Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......

una akili sana we mwanamke
 
Ukiona unamfanyia mpenzi/mke wako vibaya ila hanuni,haulizi wala hakasiriki yeye ana furaha tu mda wote jua tu kuna mjanja anakusaidia kazi, sisi wanawake ni very sensitive tunapenda sana kujaliwa na attention kwa ujumla, sasa wewe endelea kurudi sa nane tena anafurahi maana anapata mda wa kuspend time na mchepuko wake bila bugudha
 
Namuona wife na Beb wangu wamelala...wife hana noma nimempigia amepokea na amenifungulia Geti muda huu SAA 6 ucku

good enough kaniandalia msosi na maji ya kuoga na hakuna mnuno...ananiuliza VP umefikia habar za Banadarini Leo?...hahaa
ameshanipigia pasi nguo za kesho na anajua kesho nitarud SAA 8 ucku...jumamos asubuh ataacha maagizo kwa Dada aniandalie mchemsho wa samaki asubuh...DON forget atawatoa kwenye frij wayeyuke na atapiga sim SAA NNE asubuh kunijulia hali....no mnuno!!

kikubwa jamani tuheshimiane na kupendana...ata simu izi tuache kupekuana Cc huwa wala hatushik sim za mwenzie..but uwe na adabu ikipigwa ongea Apo apo...

Wewe chapombe mwenzako hana shida kwa kua yeye nae anaumalaya anaendekeza ngoma drooo bapo
 
Anakupenda na anasubiria u adilike ila kuna siku atachoka kuvumilia..
 
Who is sleeping with ma baibe and taking care of him i need to know right now......... Trust me someone is taking care of her ohooooo!!!!
 
Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......

Nikiwa na mke km ww fasta nakupa talaka, huna msaada kwangu kabisa!

Unajua wanaume tuko km watoto, huwa tunafanya mambo mengine ya kipumbavu sana, ukiwa na mke makini akakukemea au kulalamika unaacha ila km mke ni poyoyo unaweza kuleta hata mchepuko ndani kwako!

Kumbuka mwanaume bila mke hujakamilika kwa chocho, na mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe!:sly:
 
Kimsingi mkeo hana shida hata ukilala nje wiki nzima...
mradi yeye anajua wapi moyo wake unatulizwa...

Hahhahhaa,....dahh? Kaka taratibu bana, utavunja ndoa za watu...
 
Nikiwa na mke km ww fasta nakupa talaka, huna msaada kwangu kabisa!

Unajua wanaume tuko km watoto, huwa tunafanya mambo mengine ya kipumbavu sana, ukiwa na mke makini akakukemea au kulalamika unaacha ila km mke ni poyoyo unaweza kuleta hata mchepuko ndani kwako!

Kumbuka mwanaume bila mke hujakamilika kwa chocho, na mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe!:sly:

......mnh? Huo uanaume wa kutojitambua bro. Baba jitu zima, ukute na watoto mshajaaliwa na mkeo kisha bado akili zinakupelekea ati mkeo akufanyie kama mama'ko?

No, nimekataa kujumlishwa kwenye wanaume wa aina hiyo.
 
If U're matured man ungeelewa ninachommanisha, ila km ww ni serengeti boy au km ww ni mkurya basi ni vigumu kunielewa mkuu!
 
Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......

Umeanza lini? Mbona sina taarifa?
 
Back
Top Bottom