Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......
Umeanza lini? Mbona sina taarifa?
Hahahaha jamani nyie viumbe hamueleweki mwee. Jana tu mmetoka kutuwashia Tuache tabia ya kuwakaripia. Sasa leo mmeanza tena kupenda kukaripiwa au? Kwa kweli sisi tutafata tu mdundo utakavyoendaNikiwa na mke km ww fasta nakupa talaka, huna msaada kwangu kabisa!
Unajua wanaume tuko km watoto, huwa tunafanya mambo mengine ya kipumbavu sana, ukiwa na mke makini akakukemea au kulalamika unaacha ila km mke ni poyoyo unaweza kuleta hata mchepuko ndani kwako!
Kumbuka mwanaume bila mke hujakamilika kwa chocho, na mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe!:sly:
Hahahaha jamani nyie viumbe hamueleweki mwee. Jana tu mmetoka kutuwashia Tuache tabia ya kuwakaripia. Sasa leo mmeanza tena kupenda kukaripiwa au? Kwa kweli sisi tutafata tu mdundo utakavyoenda
C.c atoto, Evelyn Salt, mkabasia
Aah jana mmetupa makavu mnoo, eti sisi tunajifanya mama zenu. Mkichelewa kurudi tunawafokea. Sasa na Sisi tunanyamaza tu kimya, mtajinyoosha wenyewe. Kama mnafanya vitu makusudi ili tuseme, basi sisi hatusemi, hatuulizi wala hatununi yani.Hahahahaaa Heaven Sent kumbuka mwanaume bila mke Unaendelea kuwa mtoto, kamwe huwezi kupeleka mambo yako kiutu uzima, ila mwanamke bila mwanaume anaweza akasongesha maisha vizuri kabisa!
Ww mwachie mme wako uhuru 100% uone yatwkayotokea😉
Aah jana mmetupa makavu mnoo, eti sisi tunajifanya mama zenu. Mkichelewa kurudi tunawafokea. Sasa na Sisi tunanyamaza tu kimya, mtajinyoosha wenyewe. Kama mnafanya vitu makusudi ili tuseme, basi sisi hatusemi, hatuulizi wala hatununi yani.
Teh hatekwi mtu ila anajiteka yeye mwenyewe, afu nyumba ndogo zinajuaga kumbembeleza tu, hazigombezi mtu.Hahahahaaa subiri wanaojua kufoka wamteke huko ndio utatia akili
Namuona mke namtoto wangu wamelala, mke hana noma nimempigia amepokea na amenifungulia Geti muda huu Saa 6 usiku.good enough kaniandalia msosi na maji ya kuoga na hakuna mnuno ananiuliza vi[i umesikia habari za Banadarini Leo?...hahaa...
Ameshanipigia pasi nguo za kesho na anajua kesho nitarudi Saa 8 usiku Jumamosi asubuhi ataacha maagizo kwa Dada aniandalie mchemsho wa samaki asubuhi, dont forget atawatoa kwenye friji wayeyuke na atapiga sim saa nne asubuhi kunijulia hali no mnuno!
Kikubwa jamani tuheshimiane na kupendana ata simu izi tuache kupekuana, sisi huwa wala hatushiki simu za mwenzie, but uwe na adabu ikipigwa ongea apo apo.
Nikiwa na mke km ww fasta nakupa talaka, huna msaada kwangu kabisa!
Unajua wanaume tuko km watoto, huwa tunafanya mambo mengine ya kipumbavu sana, ukiwa na mke makini akakukemea au kulalamika unaacha ila km mke ni poyoyo unaweza kuleta hata mchepuko ndani kwako!
Kumbuka mwanaume bila mke hujakamilika kwa chocho, na mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe!:sly:
Umeanza lini? Mbona sina taarifa?
RIP ndoa yenu