Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,649
Hakyanani..... Mungu anawapenda sana wanaume
Anawapenda au anawapendelea?
Hakyanani..... Mungu anawapenda sana wanaume
Lengo langu sio kujisifia.
Nahuznika tu na huyu jamaa mweny kumpenda hu mchpko wangu kwa dhai ambavyo anamjali na kumthmini lakini uu mchepuko roho yote iko kwangu.
Eventually ntamtosa tu aache kuiba waume za watu
Endelea mkuu yaan hata mke wako aliniongopea kama wewe ila mkeo nampendaa Sana ananipa mzigo vemaa! Na juzi tuu katoa mimba yangu ye anavyodai! Endeleea huko na mm naendelea kwako
Sasa iv unajiona mjanja.
Dhambi hiyo itakutafuna mpumbavu ww..
Angekua dada yako anafanyiwa iv
Anawapenda au anawapendelea?
Ndo kuwapenda hukohuko huwezi kumpendelea usiyempenda
Mabibi na mabwana,
Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine wengine mkajifunza.
Mimi ni kijana in my late thirties nimeoa kwa ndoa yakanisani na nimebahatika kupata watoto wawili na mke wangu. Tunaishi Sinza nafuraha.
Ninafanya kazi kwenye shirika moja la mafuta naalhamdulillahi maisha yangu sio mabaya. Mwaka jana nilikutana na kimwana mmojaambae ni mzuri sana na baada ya purukushani za miezi kadhaa akanasa kwenyemtego wangu.
Nilimweleza ukweli kuwa nimeoa na nina familia ila sinafuraha katika ndoa yangu. Pili nimeoa huyu mke kwaajili ya wazazi wangu sababuwalitaka nimwoe hivyo kwa kuwaridhisha ndio maana niko nae.
Bibie akaniamini na akaingia kingi. Nakula mzigo kamamchepuko kwa raha zangu.
Kinachoniuma maskini kuna njemba amejitokeza na anataka kumwoa huumchepuko na bibie hataki!!!
Najisikia vibaya sana kwa sababu jamaa anampenda huyumchepuko kwa dhati na mimi nampotezea muda wake tu na huku nina michepuke minginemitatu Zaidi yake.
Wapendwa nishaurini nifanyaje sababu napenda kuendelea kulataunda la huu mchepuko na wakati huo huo siwezi kumwacha mke wangu wa ndoa.
Najisikia guilty pia jamaa wa watu anavyohangaika kumtongozahuu mchepuko wangu na najisikia huruma sana.
Wananawake: ASIKUONGOPEE MTU.
LOVE OVERCOMES???
LOVE RISKS ANYTHING???..TUKIWAAMBIA TUMEOA KWWAJILI YAKUWAFURAHISHA WAZAZI TUNAWAONGOPEA MCHANA KWEUPEE. KAMA KWELI NINAMPENDA KWADHATI HUU MCHEPUKO BASI NINGEMWACHA MKE WANGU NA KUWA NA HUU MCHEPUKO. Wakatimwingine nimeanza kuamini kwa wanawake ni viumbe wa kudanganywa na kuchezewa.
Wenu,
Mzee wa michepuko
Karma karma karma.....