Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Social network era,mambo haya kwa sasa tuhadahithiana na kuona ya kawaiiida sana,ila si mambo ya kujisifia ni ya kujutia
 
kumbe hivyo,,,basi baadae kidogo ngoja nisepe kwanza
 
Lengo langu sio kujisifia.
Nahuznika tu na huyu jamaa mweny kumpenda hu mchpko wangu kwa dhai ambavyo anamjali na kumthmini lakini uu mchepuko roho yote iko kwangu.
Eventually ntamtosa tu aache kuiba waume za watu
 
Lengo langu sio kujisifia.
Nahuznika tu na huyu jamaa mweny kumpenda hu mchpko wangu kwa dhai ambavyo anamjali na kumthmini lakini uu mchepuko roho yote iko kwangu.
Eventually ntamtosa tu aache kuiba waume za watu

Mmh umejuaje kama mchepuko hampendi huyo mkaka? Haya iache hiyo michepuko tulia na mkeo
 
Atajijua......

Si kadanganyika na uongo wa nussery school

Ila nyie hamjui imeandikwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote????" Heshima yako kwa ndoa yako iko wapi????
 
Endelea mkuu yaan hata mke wako aliniongopea kama wewe ila mkeo nampendaa Sana ananipa mzigo vemaa! Na juzi tuu katoa mimba yangu ye anavyodai! Endeleea huko na mm naendelea kwako

teh teh teh
kumbe ile mimba ni kweli aliitoa?..ila mtoto kakukubali balaa!

teh teh teh
 
Sasa iv unajiona mjanja.
Dhambi hiyo itakutafuna mpumbavu ww..
Angekua dada yako anafanyiwa iv

Matusi ya nini sasa? Kaleta story mumshauri hata hivyo huyo dada kuna faida anapata hapo ndomana habanduki. Nyie mnadhani anampenda jamaa kumbe labda kuna pesa hapo
 
Mwambie aolewe na jamaa. Kumbuka siku za mwanamke si nyingi hivi karibuni tu atazeeka
 
Late thirties.. With a family?
Watoto wako wana hasara.
 
Hivi kweli kwa dunia ya sasa na wanawake wa sasa kuna aja ya kudanganya ata kama umeoa? mie naona wanawake wa sasa ata ukiwaambia ukweli kuwa umeoa and u just wana have fun atakuelewa tuu.
 

Huwa najiuliza hivi uwezo wa akili ya mwanadamu, hasa sisi waafrika, umepungua sana au ni nini? Maswala ya kawaida kabisa ya mtu kufanya maamuzi yanakimbiziwa hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…