Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,198
Teh anafit zaidi kwenye uticha
Mzee ni mkoloni sana , hakuna lolote, mutaioma number musio mujuwa.
Hiyo shule daa!nifanye mishe nami nimpeleke wife huko naweza bahatisha upresidaaa.
Mzalendo kweli kweli mpaka wanae wapo na watoto wetu shule za kawaida kabisa ..thanx Magufuri, you deserve it!
alikua ana drive usafiri wa aina gani?
Hivi ameshajifunza english kozi?
Ila nampenda the way alivyo inaonekana hana uswahili km wa salma....
Kamuelezea mke gani? KABULA au Janeth
hivi mke wa raisi wa china na japan wanaongea english nzuri??? Vipi marais wa nchi za kiarabu??? Je maendeleo yapo au hamna???.....english inahusika nini na maendeleo tunayotaka...
Ahahahaaaaa, anaonekana tu hata kwa appearance. Chezea steam za Chemical maabara teh teh teh.
Umenikumbusha miaka hiyo, PM wa wakati ule (R.I.P) Kawawa alienda ziara uingereza alipoulizwa ni kitu gani kimemfurahisha yeye akasema ameshangazwa sana na maendeleo yao yaani hata watoto wadogo wanaongea kiingereza! Tz labda wasomi tu ndo wanaweza kuongea kiingereza.Nani kakwambia mke wa Magufuri ni muingereza?
Mzalendo kweli kweli mpaka wanae wapo na watoto wetu shule za kawaida kabisa ..thanx Magufuri, you deserve it!
Hili tatizo la r na l linadhihirisha kwamba wachangiaji wengi wa jf ni wenyeji wa sehemu moja tu maana hakuna namna tena. Sasa matokeo ya tafiti mbali mbali yanayotolewa humu jf ni yakuyaangalia kwa macho meeengi tu.
Otherwise wise hongera mama magufuli maana umebeba nyota ya mumeo kwani kwa mwonekano wako tu na sifa hizo mwanaume hawezi kujuta kukuoa na lazima Mungu abariki tu. Big up. More over you are so cute.
Umeonaeeh R&L tatizo kubwa hapa