Ninavyo Mfahamu Janeth Magufuli

Ninavyo Mfahamu Janeth Magufuli

Yuko na muonekano mzur na wakistaarab, ila kwa mama Regina cjui atapitia wapi!! Alf pia itakuw ni kweli hana uhusiano mzur na mumewe na huenda sabab ya kutotaka kuitwa mke wa waziri ikawa ni hyo mbali na kutojikwez, hasinge kasirika ila angekuw amekataa tu
 
Yuko na muonekano mzur na wakistaarab, ila kwa mama Regina cjui atapitia wapi!! Alf pia itakuw ni kweli hana uhusiano mzur na mumewe na huenda sabab ya kutotaka kuitwa mke wa waziri ikawa ni hyo mbali na kutojikwez, hasinge kasirika ila angekuw angekataa tu coz ni kweli
 
Kuna kitabu fulan kinaitwa a man of people kuna mtu anaitwa odili ameleza jinsi vijana,wazee na watoto walivyokuwa wakimpenda. Mtu aliyekuwa a man of people Chief nanga bila kujua jinsi gani baada ya kuwa wazir alichange na kuwa an enemy of the people na sio man of the people tena Magufuli alikuwa teacher mkewe teacher ila tuangalie maslah ya kaz aliyoiacha kwann hata sku moja asipiganie bungen??? Huyu ni mtu tunaezan ni man of the people but ki uhalisia c ukwi
 
umenikumbusha miaka hiyo, pm wa wakati ule (r.i.p) kawawa alienda ziara uingereza alipoulizwa ni kitu gani kimemfurahisha yeye akasema ameshangazwa sana na maendeleo yao yaani hata watoto wadogo wanaongea kiingereza! Tz labda wasomi tu ndo wanaweza kuongea kiingereza.

this is how tz is.....so funy.
 
Yuko na muonekano mzur na wakistaarab, ila kwa mama Regina cjui atapitia wapi!! Alf pia itakuw ni kweli hana uhusiano mzur na mumewe na huenda sabab ya kutotaka kuitwa mke wa waziri ikawa ni hyo mbali na kutojikwez, hasinge kasirika ila angekuw angekataa tu coz ni kweli
hapo umejibu moja ya maswali
 
Wanasikitika nini hao wanafunzi...

Kwani huyo Magufuli kashapata huo urais hata wasikitike kuondoka kwa mwalimu wao???

Mtampamba tu, hata kama hana sifa hizo. Kwani kuna mtu wa kumuandika vibaya? sawa na marehemu, sijawahi kusikia mtu anatoa mabaya ma marehemu katika maisha yake! I am not convinced by this story anyway!

Haahaha si ndo hapo,
 
wewe ndugu yangu uko pessimistic, sijui kama unaelewa maana ya hilo neno. Unawaza mabaya tu. Huyu mama ni mfano wa kuigwa. Mume wake naye ni mtu mzuri na anyejali watu. Kwa kweli tumempata Rais mzuri sana ambaye anaweza kubadilisha maisha ya watanzania positively. Asante Mungu umejibu maombi.
 
Alisema kwa kuonyesha ni jinsi gani hataki maisha ya juu, watoto wake wote walipitia shuleni hapo na mtoto wa mwisho alimaliza mwaka juzi na kufaulu Shule ya Sekondari ya Kata ya Oysterbay ambako anaendelea kusoma.

sio mtt amependa afaul shule ya kata bt ndo uwezo wak umeishia hapo
 
Huyo ndiye mama Mafufuli,hongera kwa uwajibikaji kama raos wetu Magufuli
 
Huyu Mama mara chache sana namuona akitabasamu
ni kama ana zigo la stress.....

Ndio mkuu. Ndoa ni siri ya ndani ila mume wake amshukuru Mungu amepata mke mwenye uvumilivu kwake. Mungu ibariki Tz
 
Back
Top Bottom