Special agent.
Senior Member
- Aug 25, 2015
- 101
- 71
wewe ndugu yangu uko pessimistic, sijui kama unaelewa maana ya hilo neno. Unawaza mabaya tu. Huyu mama ni mfano wa kuigwa. Mume wake naye ni mtu mzuri na anyejali watu. Kwa kweli tumempata Rais mzuri sana ambaye anaweza kubadilisha maisha ya watanzania positively. Asante Mungu umejibu maombi.
Wewe mjinga hasa,mungu gani ajibu maombi ya kuirudisha ccm ikulu? labda mungu shetani na siyo Mungu huyu aliyeumba dunia.