Ninavyo Mfahamu Janeth Magufuli

Ninavyo Mfahamu Janeth Magufuli

Magufuli ana ndugu yake (mdogo wake) alikua ana fundisha chuo cha maendeleo ya jamii musoma.... Sasa uyo maisha alokua akiishi.... Mtu akisema ndo uzalendo atakua anatukosea sana wananchi..

Kwa kipindi nilicho muona alikua akiishi maisha ya shida sana, japo alikua msomi lkn stl dah.... Maisha zaidi ya uasili!!!.
 
kwa hiyo kampuni nyingine ya kitapeli inaanzishwa?

hope hatakuwa mpenda kuruka na ndege kama yule mswahili.
 
Magufuli ana ndugu yake (mdogo wake) alikua ana fundisha chuo cha maendeleo ya jamii musoma.... Sasa uyo maisha alokua akiishi.... Mtu akisema ndo uzalendo atakua anatukosea sana wananchi..

Kwa kipindi nilicho muona alikua akiishi maisha ya shida sana, japo alikua msomi lkn stl dah.... Maisha zaidi ya uasili!!!.

stl una maana gani?
 
Mi niwe na hela alaf mwanangu asome shule za kipuuzi hvyo na hela iko ndani ?? Bado hujaniambia.

Just because nilipitia life gumu na mwanangu apate shida hzo hzo ?? What a disgrace.
 
Kuna watu ni wabishi wa asili,,wamejaa negativity na wana akili za kipumbafu sana humu jf,,,
Kuna mwana saikolojia aliwahi niambia watu walio na negativity nyingi au ambao katika kila kitu kinachokua mbele yao wanaanza kufikiria negatives kwanza na wanajudge vitu from negative side huwa si watendaji na si wathubutu na wanaishia kua masikini au mafanikio yako makubwa ni kuwa middle income earners/middle class,,hiwa ni watu wa kuishia kulalamika,,,,jf wako wengi sana

Yani watu wamekaa kubisha bisha na kucriticise kila kilicho mbele yao,,mengine yaliyotajwa hapo juu kuyathibitisha ni ngumu,,je suala la watoto wake wote kupitia shule hiyo nalo mnalibishia?
Magufuri ni mbunge tangu 1995 na ni waziri wa wizara mbalimbali tangu enzi za mkapa,,watoto wake wote wamekua na probably wameanza shule wakati tayari yeye ni mbunge,,,,suala la watoto wake kusoma shule za serikali hasa primary wakati baba ni waziri ni moja kati ya viashiria vya uzalendo wa hali ya juu alionao mgombea huyu
 
Usafiri na English course vitakusaidia nin ukijua?
Yani unatafuta Negativity tu?
Haya mama yako ameshajifunza English kozi na anadrive usafiri wa aina gani?

Mama yangu hana hiyo nafasi kwasasa na hana mkutano ata mmoja wa kimataifa ambao anategemea kuuongoza TAKE THAT! Kuuliza hayo maswali nina maana yangu kubwa tu ila kwa pimbi km wewe huwez elewa...Binafsi sina chuki ata chembe na Janet ila niliuliza ili great thinkers wadadavue lakin narow minded like ukadandia treni kwa mbele...Huna hoja pita kimyakimya..as long as ni presidential hopeful we'v the right to know na sio ya wale wa Tanzania ni union btn Tanganyika n Zimbabwe
 
Hiyo shule daa!nifanye mishe nami nimpeleke wife huko naweza bahatisha upresidaaa.

Labda kama nae atampata mwanamme mwanasiasa msomi. Vinginevyo aendelee kufundisha huko huko aliko na asisahau kwenda na maandazi wanafunzi waendelee kumsaidia kuuza.
 
Watu wanatokea mbali sana jamani...., hivi vyeo vya kisiasa wengi wanapata baada ya kuwa na taaluma katika fani husika.
Ni uwenda wazimu kuanza kuringia/kujivunia cheo ambacho taaluma yako kwa namna moja au nyingine ndio imekufikisha hapo. Ila wapo wacheche anaofanya magumashi kupata vyeo (bila taaluma/taaluma ya kutosha) ndio tunaowana wanajigeuza miungu watu! Hakuna la zaidi ya ulimbukeni!
 
Alikua ana drive usafiri wa aina gani?
Hivi ameshajifunza english kozi?
Ila nampenda the way alivyo inaonekana hana uswahili km wa Salma....

Na mimi pia nampenda mkuu, nina imani hana uswahili kama wa huyo mswahili asilia khaaa!!
 
Maisha ya kipekee amekuwa mungu yeye.. Kuna binadamu wengine wajinga sana. Kwanini asingekuwa mfanya kazi bora wa mkoa basi.
 
Mama yangu hana hiyo nafasi kwasasa na hana mkutano ata mmoja wa kimataifa ambao anategemea kuuongoza TAKE THAT! Kuuliza hayo maswali nina maana yangu kubwa tu ila kwa pimbi km wewe huwez elewa...Binafsi sina chuki ata chembe na Janet ila niliuliza ili great thinkers wadadavue lakin narow minded like ukadandia treni kwa mbele...Huna hoja pita kimyakimya..as long as ni presidential hopeful we'v the right to know na sio ya wale wa Tanzania ni union btn Tanganyika n Zimbabwe

mmh mkuu sema tu ukwel ka post kako kale kalikua kapo kishambenga shambenga sasa jamaa alivokukoromea ndo ukajitia kutotaka kuonekana umekosea,, sasa hapo ma great thinker watadadavua nini kwenye huo uswahili? kwani fest ledi wa china anajua inglish kozi au hata huyu wa kwetu anaeondoka mbona anamaliza salama wakati nae ni bomu kwenye hii kitu? wenzetu hua kiingereza mnakichukulia vipi au ndo lugha pekee itayotumika siku ya mwisho?
 
Si mpenda makuu. Akiwa first lady tunaidea rais wetu atakuwa na mtu wa sampuli hiyo

Huenda hataweza kumshawishi mumewe by then rais kufanya mambo ya ovyo

Mfano kutaka magari 7 ya kifahari, shoping kila mara ulaya, nk

Wanawake waaathiri sana wanaume

Akiwa kama salma Wanawake watatia aibu sana.
 
Wanasikitika nini hao wanafunzi...

Kwani huyo Magufuli kashapata huo urais hata wasikitike kuondoka kwa mwalimu wao???
Hivi kuna sheria inakataza mke wa raisi kuendelea na kazi ya ualimu? Au ni mambo ya usalama?
 
Back
Top Bottom