Sana, cute wife ni sumakuTumbua aka mbususu ina nguvu sana[emoji1787][emoji1787]
ššššhajibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe ndo kuna mtu nmemuambia nna njaa, na hajanijibu bado dea.
Mupambe kaingiašShemeji yetu Countrywide ndio mwenyewe sasa,Kijana mjanja from Chugastan...Mimi Kama mweka hazina nasemajeeee Ni Nyama choma na bia mpaka watu wabebe.....X-shemeji NALIA NGWENA atusamehe bureššššš
Sasa Bora mtu aseme udugu kuliki dyadya,,,linanikeragaaaššššššmie silielewagi tu..ongea tu dyadya
Shemeji yetu Countrywide ndio mwenyewe sasa,Kijana mjanja from Chugastan...Mimi Kama mweka hazina nasemajeeee Ni Nyama choma na bia mpaka watu wabebe.....X-shemeji NALIA NGWENA atusamehe bure[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mupambe kaingia[emoji16]
Na Ile sura yake inaonyesha Hana huruma akiwa kilingeni,ataanza na Shem mpambe Shunie ,halafu wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
š¤£š¤£š¤£š¤£Hatari kitu gani bwana,,,Shem tangu siku ya kwanza anakutongoza kichuga namwangalia tu mikwara mingiii mmezinguana wewe mwisho harusi imefikašDada maneno hayo yamenibariki [emoji8]
Sema nyie ndio mnasababisha watu wanafanya kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Cute wife umeona hizi compliments? Let's make it happen, tuwape watu furaha[emoji7]Shemeji yetu Countrywide ndio mwenyewe sasa,Kijana mjanja from Chugastan...Mimi Kama mweka hazina nasemajeeee Ni Nyama choma na bia mpaka watu wabebe.....X-shemeji NALIA NGWENA atusamehe bure[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kichuga ndio habari, mwendo wa ngiri hakuna kuremba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari kitu gani bwana,,,Shem tangu siku ya kwanza anakutongoza kichuga namwangalia tu mikwara mingiii mmezinguana wewe mwisho harusi imefika[emoji13]
Tuwape ushindi waoDada maneno hayo yamenibariki [emoji8]
Sema nyie ndio mnasababisha watu wanafanya kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
š¤£š¤£š¤£Hapana ni mweusi sana...atatuharibia mbegu sie tunataka vitoto vi cute Kama shem county[emoji23][emoji23][emoji23] Dada leo mlivyomgeuka km sio nyie mliompamba [emoji119][emoji119]
Kwanza atatuharibia watoto sura km tope
Fanya sasa