Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Benaya-

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
4,417
7,610
(ANGALIZO: NAONGELEA WACHESHI NA SIO MALAYA..ucheshi hauna uhusiano na tabia mbaya)

Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.

Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.

Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:

1. Hawana kisirani sawa na wakimya

2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea

3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia Benaya- my love usinikosee tena ee😅😅

4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote😘😘

5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.

Ukimkoleza akakolea utasikia lamasabakitani kakalakaka babaaa yaani fujo fujo tuuu😘😘😘🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.

Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa😁😁
 
ba26de6a-6d7a-4cb5-a83e-cf764759cdbe.jpg
 
Back
Top Bottom