Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Hapo umezungumzia tabia za wadada wacheshi na siyo micharuko mkuu mtoa mada..!!
Micharuko sijui mapepe haijakaa kinidhamu kabisa..!!

Nb; muambie mdada wewe ni mcheshi uone reaction yake, kisha muambie wewe ni 'mcharuko ama mapepe' uone moto..!!
 
Neno " mcharuko" ni kamba tu ndio maana umevutiwa kuja..
Lengo haswa ni mcheshi na wewe ni miongoni mwa wacheshi mkuu
 
Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.

Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.

Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:

1. Hawana kisirani sawa na wakimya

2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea

3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia Benaya- my love usinikosee tena ee

4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote

5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.

Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.

Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa

Mimi mbona sio mcharuko hata uduguu wangu cocastic anajua
 
Back
Top Bottom