HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,413
- 6,134
Wadau habari ninauza mpunga ninagunia 130 za mpunga gunia zina debe nane hadi 9 Kwakila gunia nauza laki na ishirini karibuni 0758844240
Mbarali Mbeya anakolimia masanjaHuo mpunga ni wa mkoa/wilaya gani? Kyela, Ifakara au Koromije?
Uko wapi ?
uko mkoa gani
ndio nauza upoAaaaah! kumbee
nilidhani unauza mpunga...