Habari wana JF, mimi nina mbuzi wakubwa mabeberu, ninauza bei ni kati ya 120-140, pungufu tunaongea, biashara maelewano na hatuwezi kushindwana.
Kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na wateja ni Sawa pia...
Kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na wateja ni Sawa pia...