Ninauza kiwanja


chilamjanye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
110
Likes
0
Points
0

chilamjanye

Senior Member
Joined Oct 5, 2007
110 0 0
Ninauza Kiwanja Kipo Madale karibu na Kwa Marehemu Kawawa ni robo heca hakijapimwa hakuna dalali kinafikika kwa usafiri wowote bei milioni 5.5 hakuna dalali mimi ndo mmiliki na atakayewahi awe ni mtu ambaye kesho asubuhi nampeleka kukiona maana hakuna kazi na mazungumzo pia yapo namba yangu ni 0787585860. Narudia unayewasiliana na mimi hakikisha kesho uko tayari tukakione wewe tuma hata meseji nitakujulisha na watu 3 wa mwanzo ndo nitafanya nao mazungumzo
 

Forum statistics

Threads 1,204,151
Members 457,147
Posts 28,143,410