Kiwanja kinauzwa Chanika Dar

m-boy

Senior Member
Aug 20, 2023
147
477
HABARI ZA MAPUMZIKO

NINAUZA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA 16-13, KIWANJA HIKI KIPO JIJINI DAR ES SALAAM, ILALA , CHANIKA NYEBU

KIWANJA KIPO KARIBU NA BARABARA YA MTAA, NA UMEME UPO,

KUNA UMBALI KIASI TOKA BALABARA KUU YA KWENDA CHANIKA

KIWANJA HAKINA DALALI, MMILIKI NDIO ANAKIUZA, KUPELEKWA BULE KAMA USAFILI WA MUHUSIKA UPO FREE, IKITOKEA HAKUNA USAFILI UTALIPIA PIKI PIKI BEI UTAKAYOAMBIWA,

BEI YA KIWANJA NI SH 3,200,000 (milion tatu na laki mbili) MAZUNGUMZO YAPO BAADA YA KUKIONA

NAMBA YA SIM NI 0745-798-112
NYOTE MNAKARIBIASHWA.

PICHA ILIOWEKWA HAPA SIO PICHA YA KIWANJA KINACHOUZWA , TULIKOSA PICHA NDANI YA MUDA IKABIDI TUWEKE HIYO KAMA KUONYSHA MSISITIZO
IMG_20231008_095058_891.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom