Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Dada yetu kashaona mengi
Itakuwa anacheza kwenye 45-47
 
Pole sana sister,sina kikubwa ila naomba inipe utaratbu wa kukuchagia hata hela ya maji ukiwa safari.
 
Pole sana sister,sina kikubwa ila naomba inipe utaratbu wa kukuchagia hata hela ya maji ukiwa safari.
 
Kuna wakati dunia huonekana kumgeuka mtu kiasi cha kumvua nguo, nashauri ujitie nguvu wala usiumizwe na kauli tata tunazotoa, binafsi ninaona umetuheshimu na kutupa nafasi ya pekee kushiriki tatizo lako kama ndg zako. Ninakushukuru kwa heshima hii Mamndenyi, pia nikutakie mafanikio katika hitaji lako.
Mungu akutetee katika yote, nimeguswa sana moyoni nitakucheki.
 
Kwani Dar to Mbeya nauli ni kiasi gani?
Nauliza hivi nna maana yangu nataka nifanye makisio nikupe ngapi ambayo inaweza kukusaidia kwa 30℅ na pia nikipata jibu kama hautojali au kuona shida nenda kwa wakala wa airtel nikutumie moja kwa moja au nipe namba ya airtel.
 
Nimeguswa, ila ushauri tukikuchangia bora utume za matibabu akipona mpange taratibu mtembeleane.
 
mama shimbonyi,aie mae. Mungu akutangulie mama na utafanikiwa
 
Mkuu mamndenyi roho wa bwana anaitaka kuhakikisha kama sio unapiga watu kwa vyuma kukaza!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…