Mtaji wako ni mdogo sana kulima mazao Kama nyanya na hoho kwa shamba lenye ukubwa wa heka 1.Kwa huo nsimu wa January mpaka March au April mazao hayo yanafaa mkuu? Ngoja nisome utafiti kidogo juu ya ushauri wako nitakurejea.
Kwa hyo pesa nyanya na hoho hapana sikushauri. Labda mahindi