Ahsante, nawasubiriNgoja wabobezi wa biashara hiyo waje watakujuza
Ahsante kwa ushauri.mmh, huu mwezi ukishaisha ni shida labda utafute order kwenye mahotel na supermaket
Prof nipe huo utaalamu nitengeneze siku moja maana me ni mdau wa african cuisinesDuh!!!Hayo maboga huku kijijini huwa hatuyatilii mkazo huwa tunakula kama kujifurahisha kumbe huwa yanauzwa.
Mkuu upishi wake sio kazi unalichukua boga unalikata vipande unavyoona vitashikikika vizuri mkononi pale utakapo kuwa unakula unavitia kwenye sufuria unatia maji kiasi kulingana na wingi wa maboga yako unatia na chumvi kiasi baada ya hapo unafunika na kutenga yaache yachemke hadi yawe malaini kiasi hapo yanakuwa tayari kwa kuliwa mimi huwa nikipakua natumia kijiko kulia huwa yanakuwa matamu sana hasa ukipata na kikombe cha chaiProf nipe huo utaalamu nitengeneze siku moja maana me ni mdau wa african cuisines
boga moja elf tatu tena dogoo maboga ni ghali sana kubwa elf 7Duh!!!Hayo maboga huku kijijini huwa hatuyatilii mkazo huwa tunakula kama kujifurahisha kumbe huwa yanauzwa.
asante sana mkuu, baada ya kuhangaika na dunia nikitulia sehemu inayoeleweka nitafanya Eden on earth mambo kama hizi hazitakosekna. mpaka sasa nimepata aina mbili za mbegu zake hope until those days ntakua nimepata all varietiesMkuu upishi wake sio kazi unalichukua boga unalikata vipande unavyoona vitashikikika vizuri mkononi pale utakapo kuwa unakula unavitia kwenye sufuria unatia maji kiasi kulingana na wingi wa maboga yako unatia na chumvi kiasi baada ya hapo unafunika na kutenga yaache yachemke hadi yawe malaini kiasi hapo yanakuwa tayari kwa kuliwa mimi huwa nikipakua natumia kijiko kulia huwa yanakuwa matamu sana hasa ukipata na kikombe cha chai
asante sana mkuu, baada ya kuhangaika na dunia nikitulia sehemu inayoeleweka nitafanya Eden on earth mambo kama hizi hazitakosekna. mpaka sasa nimepata aina mbili za mbegu zake hope until those days ntakua nimepata all varieties
Mkuu realpatriot ahsante kwa mchango wako.mkuu maboga ni chakula safi sana kwa watu wanaojali afya zao kama mimi kutokana na kwamba mara nyingi nachelewa kurudi nyumbani napenda kupata chakula laini ili niamkapo asbh niwe mwepesi...SASA khs soko lake kwa kweli lipo na ni kubwa sana kwa maana boga dogo kabisa nanunua kwa 3000 na kubwa mpaka 6000 hii ni kwa masoko ya stereo na tegeta ,kwa maelezo haya naomba fanya utafiti taratibu lazima utauza tu tena kama huna papara yavune weka sehemu kavu na kivulini uuze kidogo kidogo mpaka utakapo maliza...NAWASILISHA