Kuna rafiki yangu yuko Mpanda,anataka kuanza bishara ya mifugo (ng'ombe na mbuzi) kuuza Zambia. Alisikia inalipa sana. Anaomba anayejua utaratibu na hali ya sasa ya soko ikoje,amjuze.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.